Leo mtoto hatumwi dukani: Yanga vs Mtibwa Sugar

Leo mtoto hatumwi dukani: Yanga vs Mtibwa Sugar

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
15,351
Reaction score
21,362
Leo kutakuwa na game ya kukata na shoka kati ya Young Africans, Watoto wa Jangwani wakikutana na team ngumu na mabingwa wa Kombe la Mapinduzi a.k.a wazee wakulambisha sukari Mtibwa kwenye Uwanja wa Taifa si yakukosa.

Nini maoni yako kwenye game ya leo?
 
Mkuuu kati ya Vitu Fans wa Yanga hawawezi ni Sappoti kwa njia ya Mtandao. Sjui tatizo wanatumia vitochi au tatizo ni Bundle. Leo Vyura kazi mnayo mbele ya Mtibwa mnaweza kukojozwa hiv hivi
 
Kila mtu ashinde Mechi zake
Ili hesabu ikae poa
 
Vyura wataibuka baada ya game kuisha maana team yao ni tia maji tia maji bardiiiiiiiiii
 
Back
Top Bottom