Leo mtoto hatumwi dukani: Yanga vs Mtibwa Sugar

Leo mtoto hatumwi dukani: Yanga vs Mtibwa Sugar

Umefanya toka nimelogin nikiona msg zako natabasamu tu Mtani. 😂😂😂
Aisee Shadeeya kutoka ndani ya kuta za moyo wangu nasema naku...... naku....... nakup...............nakupongeza kwa ushindi wa jana, hakika mmepambana sana na mkiendelea na moyo huu basi mwisho wa msimu mnaweza kuwepo kwenye top 4.

Simba nguvu moja
 
Back
Top Bottom