Mkuuu kati ya Vitu Fans wa Yanga hawawezi ni Sappoti kwa njia ya Mtandao. Sjui tatizo wanatumia vitochi au tatizo ni Bundle. Leo Vyura kazi mnayo mbele ya Mtibwa mnaweza kukojozwa hiv hiviLeo kutakuwa na game ya kukata na shoka kati ya Young Africans, Watoto wa Jangwani wakikutana na team ngumu na mabingwa wa Kombe la Mapinduzi a.k.a wazee wakulambisha sukari Mtibwa kwenye Uwanja wa Taifa si yakukosa.
Nini maoni yako kwenye game ya leo?
Kama alivyokojozwa wanamsimbazi? Game nyepesi sana kwa yanga hiiMkuuu kati ya Vitu Fans wa Yanga hawawezi ni Sappoti kwa njia ya Mtandao. Sjui tatizo wanatumia vitochi au tatizo ni Bundle. Leo Vyura kazi mnayo mbele ya Mtibwa mnaweza kukojozwa hiv hivi