Leo mtoto hatumwi dukani: Yanga vs Mtibwa Sugar

Waumie kwa lipi sasa? Kwani mmewafikia kwa points? Au mnaongoza ligi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona povu sasa Mkuu wangu au na wewe ndio mmoja wao nini?

Sema tu ukweli banaa. Sababu kwa ambaye hajaumia aezi uliza maswali yote haya πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

#Polemkuu.
 
Umefanya toka nimelogin nikiona msg zako natabasamu tu Mtani. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Aisee Shadeeya kutoka ndani ya kuta za moyo wangu nasema naku...... naku....... nakup...............nakupongeza kwa ushindi wa jana, hakika mmepambana sana na mkiendelea na moyo huu basi mwisho wa msimu mnaweza kuwepo kwenye top 4.

Simba nguvu moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…