comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
- Thread starter
-
- #21
π€£π€£ Kwahiyo umenichukuliaje mkuu kwamba mimi natukana sana au! YULE NI MWINGINEKwa hivyo huyu ndiyo alikupa uonje ndizi na utumbo?
Tafadhari usinitusi nijibu kwa staha, mimi mtu mkubwa sijui nimefuata nini kwenye Uzi huu wa makorokocho?!
Mimi naliwa hela lakini naona fresh tu kwa ninachopataMkuu wacha kunitamanisha aisee. Mi huwa napenda watoto wabichi ambao wanajua kudeka napokuwa nao.
Hiyo simu unayoilipia wenzako wanaitumia kula mambo bila kulipia.Ebana daah! Hapa mjini warembo ni wengi sana ila vigezo vyao sasa vinashangaza!
Hua naenda kula mgahawa mmoja hivi kwa bimkubwa ambae nishamzoea, hua ananiambia ana mtoto wake wa kike anasoma CHUO (vyuo hivi baada ya kutoka O level, kiufupi bado m'bichi kabisa!)
mi sikuwahi kumuona lakini nimekua na tabia ya kumtania huyo bimkubwa mama mkweee!
Hata nikienda kula pale inaweza ikaja Bill elfu 8, nikitoa ten akinirudishia chenchi namwambia "baki nayo tu hiyo mama mkweee!
Sasa bana likizo hii huyo dogo karudi, nimemuona nimzuri sana , kifup nikarusha nyavu dogo akajaa, nikamuulza ana simu nzuri kaitoa wapi?! Akaniambia kalipia kianzio ni ya mkopo nayeye anapata shida kuilipia kwani bado anasoma, minkamtoa hofu binti m'bichi mwenye chuchu kama ncha ya pyramid ya misri, nikamwambia asijali, kwakua sasa atakua namimi nitamlipia hilo deni kila siku kwa wivu mkubwa sana mpaka deni litakapoisha.
Kiufup binti m'bichi nipo nae maana ukiachilia mbali kulipia simu ya mkopo kila siku hua namtumia pesa za matumizi.
Sio mbaya maana hata yeye kashakubali kutumikia pesa zangu ninazotoa, nimeshamchachafya X1.
WANAWAKE WENGI MNAJIFARIJI BUCHA TOFAUTI NYAMA ILEILE, ILA KIUKWELI KILA BUCHA INA NYANA YA TOFAUTI KABISA, UTAMU UNAZIDIANA AISEE, MTOTO MTAMU SANA HUYU NAFUNGA MWAKA KWA KISHINDO
Kama uwezo unaruhusu hakuna shida. Mtu ambae lunch tu anatumia 10K kimtaa mtaa hali yake sio haba. Mimi msisitizo wangu ni kwa vijana ambao bado hawajamama kimaisha, sio salama kwao kulazimisha lifestyle ya aina hiyo. Hata hivyo usiamini sana story za jf especially hizi za kuonga na kula mademu. Jf kila mtu anaaonga kuanzia laki, kila mtu anapiga pisi kali. Fake id hizi zinatustai sana.Nakala ikufikie Natafuta Ajira
Ona unaowaambia wasitoe pesa. πΉ
Chezea pussy cat wewe, analipia mkopo wa simu mwenzio..!!
Umeamini maneno yangu huwezi kupangia pesa za mtu matumizi?πΉπΉπΉ
Hauko hivyo mwamba.π€£π€£ Kwahiyo umenichukuliaje mkuu kwamba mimi natukana sana au! YULE NI MWINGINE
Huyu Mzee kapotelea wapi siku hizi?Huyo Grahams anaweza kuwa mkubwa wangu.
Ila huyu @comrede_kipepe hawezi kunizidi umri.
ILIMRADI MIMI NAPEWA KITUMBUA CHENYE MAFUTA MENGI WALA SIJALI.Hiyo simu unayoilipia wenzako wanaitumia kula mambo bila kulipia.
Msilalamike wanawake wanawachuna ikiwa nyie wenyewe mnapenda.
Sawa sawaHauko hivyo mwamba.
Tahadhari tu.
Haina makombo au siyo?ILIMRADI MIMI NAPEWA KITUMBUA CHENYE MAFUTA MENGI WALA SIJALI.
MWANANGU HII TRUE STORY, HUYO BIMKUBWA ANAUZA KITIMOTO NAPIGAGA NUSU KAVU NA NDIZI MOJAKama uwezo unaruhusu hakuna shida. Mtu ambae lunch tu anatumia 10K kimtaa mtaa hali yake sio haba. Mimi msisitizo wangu ni kwa vijana ambao bado hawajamama kimaisha, sio salama kwao kulazimisha lifestyle ya aina hiyo. Hata hivyo usiamini sana story za jf especially hizi za kuonga na kula mademu. Jf kila mtu anaaonga kuanzia laki, kila mtu anapiga pisi kali. Fake id hizi zinatustai sana.
Mtu kama huyu humwambii kitu kuhusu Mangekimambi
Pamoja sana mzeeHakuna bure mjini wala kupangiana matumizi, kula maisha mwanangu,yakienda vibaya hautakuwa wa kwanza au wa mwisho
Chizi hilo achana naeMkuu siasa hadi huku kwenye changamsha genge?
Tuache tupumzike
ππππPamoja na nguvu zako za kichawi ila ukatumia pesa badala ya nguvu za kichawi kumpata?