Leo mtu mzima nimekula kandarasi ya miezi 6 ya kuitumikia simu ya mkopo

Leo mtu mzima nimekula kandarasi ya miezi 6 ya kuitumikia simu ya mkopo

Vijana wanapangia watu matumizi, MIMI NIMERIZIKA KUCHUNWA! sio kwa mbunye ile ilionona vile
Wewe endelea kupiga rungu lako kipepe maisha ndio haya haya mkali 😹😹

Mwenye wivu apande juu akazibe haiyaaa 🤸‍♂️
 
Hii ishu kaitolee fungu la kumi ili kushukuru miungu
 
😹
Kama uwezo unaruhusu hakuna shida. Mtu ambae lunch tu anatumia 10K kimtaa mtaa hali yake sio haba. Mimi msisitizo wangu ni kwa vijana ambao bado hawajamama kimaisha, sio salama kwao kulazimisha lifestyle ya aina hiyo. Hata hivyo usiamini sana story za jf especially hizi za kuonga na kula mademu. Jf kila mtu anaaonga kuanzia laki, kila mtu anapiga pisi kali. Fake id hizi zinatustai sana.
😹😹😹 Punguza ushauri acha watu watafune jasho lao na wawapendao
 
Mama watu anakuchukulia mtu wake wa karibu, wewe kumbe unamzunguka unakula binti yake.Wewe sio mwaminifu
Kwa hali yako hata mtoto wa rafiki yako unapita naye wewe.....Nyeg...bila control ya akili unawezadandia kila tundu..pole sana
 
😹

😹😹😹 Punguza ushauri acha watu watafune jasho lao na wawapendao
Sijawahi kukulazimisha kusoma threads zangu. Sijawahi kuku-tag popote. Ni wewe ndie unalazimisha kupata attention yangu. Unfortunately, you're very down to my levels.

Ukiona maandiko yangu yanaku-confront basi unaweza ukawa una-skip threads zangu au ukaniweka ignored list ili usiweze kuona chochote ninachoandika hapa jf
 
Ila raia wa jf baadhi yenu mnapenda sifa sn mpk najiulizaga wale wanaoomba ajira kule kwny jukwaa la ajira ni kina nani hao ikiwa kwny majukwaa mengne kila mtu ni milionea ana gari, nyumba nk. Kama ww jamaa hapa unatwambia matumiz ya kula kwa uyo sjui mkweo sjui shangaz ni 8000 unatoa 10 unamuachia yote maana yake ukiendapo kula kila sku kwa mwez ni laki 3, bado simu ya mkopo may be tuseme unalipia 3500 kwa mwez 105,000, bado matumiz unatuma kila sku kwa binti tuseme kila sku 10 kwa mwez laki 3 TOTAL 705,000 hayo yote ni matumiz ya nje na home kama una familia pia ni nje ya matumiz bnafs je una mshahara wa shs ngp mjomba? tupunguze sifa wkt mna id kbao uku tajiri kwngne unafata watu pm ukiomba hela ya kula tena hata huwajui kbs.
 
unatwambia matumiz ya kula kwa uyo sjui mkweo sjui shangaz ni 8000 unatoa 10 unamuachia yote
Hii inaitwa tip ukiwa na hii tabia ya kutoa tip ni kama una mnunua mhudumu. Siku yoyote ukienda kupata huduma wewe atakupa kipao mbele kuliko yoyote yule asiempa tip. Hii hata barbershop inasaidia sana kupata huduma kuliko kusubiri line.

Mfano Barber anatoza 3,000 wewe unampa 5,000 unadhani hapo nani atapewe huduma mwanzo?.
 
Sijawahi kukulazimisha kusoma threads zangu. Sijawahi kuku-tag popote. Ni wewe ndie unalazimisha kupata attention yangu. Unfortunately, you're very down to my levels.

Ukiona maandiko yangu yanaku-confront basi unaweza ukawa una-skip threads zangu au ukaniweka ignored list ili usiweze kuona chochote ninachoandika hapa jf
Ukiandika nyuzi na ukaweka JF hiyo sio mali yako..!!

Ukitaka nisicomment labda uache kuongelea wanawake au kupangia watu life styles zao..!!

Sasa wewe hapo ulipo kwa levels zipi ulizonazo? 😹😹😹
Hizi threads zako zenyewe nyingi unazitoa reddit unacopy na kupaste ni vile tunakuchora wala sio zako pyeeeeee 😹😹

Sijawahi kuignore paka yoyote wewe nikuignore kama nani?? Niko bampa to bampa na wewe funga mkanda usije kutokea dirishani..!!
 
Back
Top Bottom