comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
- Thread starter
- #61
Hamna shida ilimrad namimi nakula nundu kivyanguUkute hiyo pesa yako unayomtumia kila siku anahonga chalii fulani anayemkamua maji
Hamna shida ilimrad namimi nakula nundu kivyanguUkute hiyo pesa yako unayomtumia kila siku anahonga chalii fulani anayemkamua maji
Nyie mtakua mnapendana nendeni PmUkiandika nyuzi na ukaweka JF hiyo sio mali yako..!!
Ukitaka nisicomment labda uache kuongelea wanawake au kupangia watu life styles zao..!!
Sasa wewe hapo ulipo kwa levels zipi ulizonazo? 😹😹😹
Hizi threads zako zenyewe nyingi unazitoa reddit unacopy na kupaste ni vile tunakuchora wala sio zako pyeeeeee 😹😹
Sijawahi kuignore paka yoyote wewe nikuignore kama nani?? Niko bampa to bampa na wewe funga mkanda usije kutokea dirishani..!!
KabisaHii ishu kaitolee fungu la kumi ili kushukuru miungu
Ndio, kula Nundu muhimuKuna viumbe hamna huruma na miili yenu kabisa, unapata hela kwa tabu lakini inaita kibwege hivi?.🤣🤣🤣
Sasa kula elfu10 kwa siku umeona ni pesa nyingi? Dah ila sio mbaya tunatofautiana,Ila raia wa jf baadhi yenu mnapenda sifa sn mpk najiulizaga wale wanaoomba ajira kule kwny jukwaa la ajira ni kina nani hao ikiwa kwny majukwaa mengne kila mtu ni milionea ana gari, nyumba nk. Kama ww jamaa hapa unatwambia matumiz ya kula kwa uyo sjui mkweo sjui shangaz ni 8000 unatoa 10 unamuachia yote maana yake ukiendapo kula kila sku kwa mwez ni laki 3, bado simu ya mkopo may be tuseme unalipia 3500 kwa mwez 105,000, bado matumiz unatuma kila sku kwa binti tuseme kila sku 10 kwa mwez laki 3 TOTAL 705,000 hayo yote ni matumiz ya nje na home kama una familia pia ni nje ya matumiz bnafs je una mshahara wa shs ngp mjomba? tupunguze sifa wkt mna id kbao uku tajiri kwngne unafata watu pm ukiomba hela ya kula tena hata huwajui kbs.
Kupendana 😡Nyie mtakua mnapendana nendeni Pm
Naona kama mlikua mnatamaniana sana leo mmeamua mtoleane uvivuKupendana 😡
Mkuu kipepe tuheshimiane
Usiwe na hofu mkuu, inaonekana nawewe ni baba mwenye mtoto mzuri, wakishavuka 18 hawalindwi haoImegine tu ni mwanao, anatolewa sifa kama hizi unazotoa hapa kwa mtoto wa mwenzio,unajisikiaje? Mtoto umemzaa kwa shida,ukamkuza kwa shida,ukampeleka shule kwa ada,bado chuo unamlipia ada alafu limtu lisenge linakuja linamsifia eti anakitumbua kizuri,haki ya Mungu nikifahamu tunagawana majengo ya serikali serious.
Ndo maisha yalivyo mkuu, kikubwa usicomplicate sana unataingia kwenye magomvi ya kijinga.Usisahau Kuna mbwa anaichapa Bure kabisa hatoi hata senti.
Ila ndiyo maisha enjoy pita hivi
Mambo kama ya simu hasa kwa mtoto alie chuo sio mambo ya mtoto kutesekaImegine tu ni mwanao, anatolewa sifa kama hizi unazotoa hapa kwa mtoto wa mwenzio,unajisikiaje? Mtoto umemzaa kwa shida,ukamkuza kwa shida,ukampeleka shule kwa ada,bado chuo unamlipia ada alafu limtu lisenge linakuja linamsifia eti anakitumbua kizuri,haki ya Mungu nikifahamu tunagawana majengo ya serikali serious.