Leo mtu mzima nimekula kandarasi ya miezi 6 ya kuitumikia simu ya mkopo

Nyie mtakua mnapendana nendeni Pm
 
Sasa kula elfu10 kwa siku umeona ni pesa nyingi? Dah ila sio mbaya tunatofautiana,

Weae kwa siku unakula shilingi ngapi?
 
Imegine tu ni mwanao, anatolewa sifa kama hizi unazotoa hapa kwa mtoto wa mwenzio,unajisikiaje? Mtoto umemzaa kwa shida,ukamkuza kwa shida,ukampeleka shule kwa ada,bado chuo unamlipia ada alafu limtu lisenge linakuja linamsifia eti anakitumbua kizuri,haki ya Mungu nikifahamu tunagawana majengo ya serikali serious.
 
Usiwe na hofu mkuu, inaonekana nawewe ni baba mwenye mtoto mzuri, wakishavuka 18 hawalindwi hao
 
Usisahau Kuna mbwa anaichapa Bure kabisa hatoi hata senti.
Ila ndiyo maisha enjoy pita hivi
Ndo maisha yalivyo mkuu, kikubwa usicomplicate sana unataingia kwenye magomvi ya kijinga.
 
Mambo kama ya simu hasa kwa mtoto alie chuo sio mambo ya mtoto kuteseka

Mtoto anaenda mgahawani kumsaidia ***** kazi unategemea nini, walaji wateja ndo mabachela washenyentaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…