Leo naenda kula bata Mbezi - Kimara. Nisaidieni viwanja

Leo naenda kula bata Mbezi - Kimara. Nisaidieni viwanja

kama una gari nenda kapaki Utawala udsm ndani mle utanishukuru
watoto wasafi , hawanuki K wala mdomo , kipochi mnato, mani/pedicure ziko on point, ni UTI free college workers
lazima uzame uvinza
Ila watu jamanii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu umeamkaje na hizo bata za jana
Bata lilienda fresh sana. Nilianzia hapo Temboni kiwanja chakuitwa lacomide pub ni pazuri kiaina lakini ni eneo la wenyeji yani watu fulani wana circle zao so kuconnect ni kazi pia totoz chache sana.
Nikaenda Mbezi mwisho hapo QB ni pazuri kwa mazingira ya pembezoni ila sikuopoa totoz ni kama walivosema wadau pale mademu ni machangu tena wale wa hovyo hovyo. So wale nawaogopa wanashushaga nyota ya riziki. But nilikula beer fresh na wana then nikatafuta sehemu nikalala.
December kukaribisha new year nataka nijaribu kwenda bagamoyo kama kutakuwa na event ya kueleweka. Au nitakuwa masaki for bata ndefu kidogo.
 
Back
Top Bottom