Leo nafanya interview Ubalozi wa Marekani kwa ajili ya viza

Mkuu Invigilator naona umetoboa hongera sana. Karibu sana to the land of the free and home of the brave. Nchi za nje zipo nyingi ila kiwanja ni kimoja tu duniani- USA baby 🇺🇸 🇺🇸 🇺🇸

Kama hutojali unaweza sema unaenda state gani inawezekana ukapata wenyeji humu humu.
 
Wachawi,,,,walitaka wasikie umefeli.
 
[emoji23] kumbe wanakunywa togwa bongo
 
Mkuu Bufa ahsante sana kiongozi wangu, Mungu akubariki kwa kunisaidia kimawazo tangu mwanzo hadi hapa nilipofikia.
 
Daaa umetoboa mzeee maombi ya walikuombea Jana yamejibiwa
 

Mkuu ni kweli kabisa! Hapa ukifika utakuta hadi wajapani hawataki kurudi kwao wote wanakomaa hapa, nilishangaa sana hadi wajerumani,waingireza na wacanada wote hawataki kurudi kwao. Wameamua kukoamaa hapa. USA [emoji631] ndo kiwanja pekee cha wajanja wanaotaka maisha zaidi ya huko nyumbani. Ukifika hapa mzee mawazo ya kurudi home yote yatakatika! Hakuna aliyefika hapa akawaza kurudi tena home labda awe kalogwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kila mtu mwenye akili anapenda kuwa land of free na fursa sawa kwa wote.
 
I'm so grateful Mkuu

Mkuu ushauri tu nakupa! Ukifika hapa The land of oppotunity! [emoji631][emoji631]! Kaa karibu na wakenya watakupa michongo yote ya kusaka pesa! Kaa mbali na wabongo! Wabongo bado ni watu wenye mizaha sana kwenye mambo serous! Wakikukuta unabeba box wataanza kupiga simu nyumbani nakufanya mizaha wakati watu wanatafuta mpunga hapa hakuna kuchagua kazi. Pia kama hauna makuu jiandikishe kwa watu wa food bank utakuwa unapata misosi ya kufa mtu bure kabisa! Then utajikuta una saving ya kufa mtu. Mwisho tii sheria bila shuruti. All the best champ! Hakuna kurudi huko kwa makarani wa sensa [emoji28][emoji28][emoji109]
 
Ahsante sana Mkuu, ahsante sana, nakushukuru mno, hizi ndizo roho safi kabisa zinazojenga,Mungu akubariki sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…