Poland maisha hayakuwa marahisi
Aise sehemu ya kulala mbona panapatikana,huko nlikutana na wabongo,aise wabongo wapo sehemu nyingi duniani wametapaka
Ila nlipotoka Poland ndy nkafight kuingia Denmark
Ila kiukweli nchi nlizowahi kwenda Iran,southafrika,Namibia,zimbabwe,Brazil,Zambia,rwanda,kongo,Uganda,Kenya,komoro,Poland,Greece,UAE,Angola...ila Nchi za ndoto zangu ilikuwa USA ambayo viza nlinyimwa mara 3
Na Japan nakumbuka nliendaga ila nlipigwa bomba Airport,Japan nlip3nda Sana niendage maana wakat ule nlipata fursa huko sema ndy hivyo nkarudishwa Airport
Ndomana mpaka sahv hakuna mtu anayeweza nibabaisha na kitu maana nna exposure kubwa ya maisha,nshakutana na mengi
Ova