Mada hapa ni mwana kapata viza
Na mtu akipata viza huwa ni shwangweee mzee
Hebu tumpongeze aliyepata viza
Maana ukishapata viza huwa ni sawa na ku "fly high"
Ova
Haya! hongeraaaa mpata visa!!!! ….lkn bado nina huyo mpinga kristo sababu kuna kitu inatakiwa akirudisha haraka kanisani tena kwa Magoti atake asitake! asdhanie hapo alipo ni mbali kutoka hapa nilipo! tunamtaka arudi kundini!
inawezekana pia hii ni wewe huyo huyo kiranga, maana kiranga huaminiki wewe!! hizi avatar mara Mrangi, mo graphics ni za mutu mumoja, sababu zimekuja kwa fujo sana..
baada ya kutamka eti anajipoteza/niweka ignore List! vile pale awali hazikuwepo! zilikuwa wapi kabla ya kiranga kukimbia kwa kuaga eti ana jipoteza ignore List?
Ajabu eti zina ongea positive kuhusu Huyu Mutu muongo, muasi,mZANDIKI, msingiziaji wa Mungu wetu halali hata kudanganya tu weye kiranga hujui!!
ni sawa na paka anaye jificha kwenye shamba la karanga akidhani amewezaaa!!…..PC za siku hizi ni tofauti kidogo zina soma finger print tuu! ikiwa na camera ndo kabisaaa!...hata kutumia akili za kawaida!
hizi ni avatar zako za utetezi ulizo zianda weye mwenyewe!! nimekujua nitatungua moja baada ya nyingine si unaona baada ya kukwambia huu ukweli ....zimekuwa jiiiiii! ...unajishangaa kwanza...
lkn km utaendelea kukomaa na comments za positive on your side, najua tu ni kwa sababu nimekwambia ukweli kuhusu akili yako ilivo fupi!...kwa sababu wewe siyo popular kiasi hicho eti watu wakutetee kirahisi ivo!!
watanzania walio muacha jiwe afe!! leo wakutetee weye mpinga kristo??? mweee! hkn kitu kma hicho hawa wenye hizi ni wewe tuuuu!! umetusaidia kukujua!...
Kiranga Rudi hapa km weye ni dume kweli!! usikimbie hoja km Mwanamke dhaifu na kujificha nyuma ya avatar fake!...umewakimbia ke wasomi kibao humu walio kubana mbavu mpaka nyaa ikatoka!
Huyoooooo!! kamata huyoooo!!!