Leo nafanya interview Ubalozi wa Marekani kwa ajili ya viza

Leo nafanya interview Ubalozi wa Marekani kwa ajili ya viza

Hongera sana mkuu, maisha ni popote. Kila lenye heri huko [emoji631], piga kazi na ukumbuke kuwekeza na kuwasaidia walioko nyuma yako.
 
Karibu Marekani mkuu.

Weekend hii tuko na Kiba For Real DMV.
Mpinga kristo namabari one!! …...sijui yupi unampinga?? make kuna kristo wengi!!…..Usinambie hujui kristo gani unampinga ntakushangaa sana!
 
Mpinga kristo namabari one!! …...sijui yupi unampinga?? make kuna kristo wengi!!…..Usinambie hujui kristo gani unampinga ntakushangaa sana!
Kristo kaingiaje hapa? Una nyege na mimi?

Sasa wewe unasema mimi mpinga kristo, halafu hujui nampinga kristo gani.

Inaonesha hata wewe mwenyewe unayesema jambo hili hujui unachosema.
 
Zamani waafrika walichukuliwa kwa nguvu kwenda utumwani siku hizi waafrika wanagombea wenyewe huku wakililia kwenda utumwani. Kama walivyokufa baharini enzi ya slave trade ndivyo wanavyokufa hata leo baharini pindi boti za wazamiaji zinapozamishwa majini.
Una fikra za kijinga
 
Back
Top Bottom