Leo nahisi mke wangu anachepuka huko alipoenda

Ukiona mwanaume humii mke wako kugongwa nje ujue una upungufu wa kitu mwilini hadi sasa ulitakiwa uwe umewasha moto huko aliko awe anaharisha
Ili iweje??
Ukigongewa piga chini endelea na maisha mengine. Kujifanya sijui unawasha moto halafu mnaendelea huko ni kujichoresha tu. Utapiga kelele wenzako wanakusoma tu, wanakung'ong'a, then wanabadili mbinu ya kuendelea kula maisha wewe unabaki kujidanganya kuwa ulimuwashia moto.
Piga chini bila kelele, itamfanya ajishushe thamani
 
Anagonga wakati hakuacha mtu ndani?
Wakuu mbona kama huu uzi ni Chai,ame tuletaaaa mpaka mida hii hatujalala halafu kapotea, zingatia hoja ya Majivu hapo juu, eti anagonga mlango, mara ooh kila mtu na ufunguo wake,nikitegemea utuambie kafungua mlango kakukuta unakunywa kahawa.
 
Ungempigia video call
 
Amekaribia kubalance magoli kama ya kaizer chief na simba .Ungempigia umwambie uko home na yuko wapi umfate.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…