bongonyoo
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 604
- 883
Najaribu kuwaza km hii kweli sio chai bac mwamba unatakiwa kutuliza akili na kuondoa papara,hukupaswa kumpiga,ulipaswa kwanza kuchukua cm na kuikagua,km kwny cm kuna usalama bac akueleze huyo rafik ake ni nani na umpigie kumsapraiz na kumuuliza maswali ya kimtego km vile namtafuta RFK yk hapatikan kwan umeonana nae jioni ya Leo?..
..mwisho wa yote ukijihakikishia kuwa kweli katoka Ku cheat bac akili kichwani mwako,....utaamua cha kufanya mwenyewe ila usimpige,tunaweza kukwambia umuache kumbe bado unampenda sana na wanao watateseka,pia tunaweza kukwambia usimwache kwa kua nawe pia ni kahaba was kiume ila ukashindwa kuishi nae kwa amani na ukashindwa kushiriki nae tendo maana kumbukumbu ya kuliwa bado ikawa inakurudia,....mwisho wa cku nawe utaendelea kuzini nje na kusababisha tatizo kuzidi kuwa kubwa zaidi na kumkasirisha Mola wako,.....