Leo nahisi mke wangu anachepuka huko alipoenda

Leo nahisi mke wangu anachepuka huko alipoenda

Unaanzia wapi kulala upitwe na huu uhondo? Hebu jikaze!!!

Ma admin wenyewe wa JF nawaona wanazunguka zunguka tu kwenye kordo wanaenda kunawa uso na kurudi 😆😆😆 Melo mwenyewe yule pale kakaa ndio kwaanza anakunywa kahawa 😀
Hahaaa,
Ila inakuwaga ni nini eti, ingekuwa mahubiri hapa hata hii simu nishadondosha zamani, vile ni umbeya nakaza macho khatari, walaqhi mbingu ngumu sana..!
 
Kwa rafiki yake eeh! Mungu wangu! Niepushie kikombe hicho mimi 🙏! Mtie uvumilivu jamaa yetu huyu!
 
Poa amerudi na amevaa nguo kapendeza sana kitu cha kwanza nimeshindwa kuvumilia imebid nimnase kibao yupo analia hapo na anasema alikuwa kwa Rafiki yake
Umekosea sana kumpiga. We ungekaa kimya tu no sex asubuh acha ela mezan ondoka akikuuliza kitu jibu kwa mkato keep busy na mambo yako kama hakuna kilicho tokea ungemuona anaomba samahani mwenyewe
 
Hahaaa,
Ila inakuwaga ni nini eti, ingekuwa mahubiri hapa hata hii simu nishadondosha zamani, vile ni umbeya nakaza macho khatari, walaqhi mbingu ngumu sana..!
Shetani ana nguvu acha kabisa😀
 
kwa hiyo wewe unajiona una kibali cha kuchepuka ila mkeo hana sio?
Suleiman licha ya Kuoa wanawake 300 na vimada 700

Hamna hata mke au kimada, aliyekua anamsaliti Suleiman, kisa anawanawake wengi au michepuko wengi.

Sio maneno yangu, ni maneno ya Wataalam na wanateolojia.
 
Make wa mtu kurudi saa sita nyumba ni siyo poa,nikwamba huyo amezoea kucheat hadi kafikia secondary stage kinachofwata ni kulala huko mazima.Mwanamke mjinga ataivunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe.

Mkimaliza kutoleana mapovu na vibao viwili vitatu rudini kwa viongozi wenu wa dini muanze upya. Kwa waislaam mke akitoka nje ya ndoa ndiyo imeisha hiyo.
 
Back
Top Bottom