Leo nahisi mke wangu anachepuka huko alipoenda

Leo nahisi mke wangu anachepuka huko alipoenda

Kwa namna yoyote ile ukifanya ajue kua umejua hayupo utafeli kumnasa Ready handled.

Chakufanya,
-Toka hapo home,
nenda kabane sehem barabara ya kuingia kwako inaishia afu piga Rada uone ataletwa na Nani na atakuja SAA ngapi.
Baaada ya uchunguz nenda kalale pengine mpk kesho MDA ulopanga urudi.

-kesho yake ukirud Anza KAZI yako ya upelelezi pole pole utamjua IN &OUT
Kuna kila dalili yakutorudi leo maana ndio siku ya mwisho jamaa atakuwa anataka kupeleka motoo wa maana. Gaddamit sema haya mambo bana kama girlfriend anauma sijui upande wa pili inakaaje!!

Sent from my 601SO using JamiiForums mobile app
 
Nimempigia hapokei ila msg kajibu nimescreeen short msg nawezaje kuweka humu
Usiweke mzee..hiyo ni faragha yako tafadhali, Huwezi jua kesho ina nini..

Mnaweza sameheana alafu ukashindwa kuitoa humu
 
Wakuu ipo hivi nilisafir toka jtano mkoa flan plan ya kurudi ilikuwa jmos kesho jion lakin nikaamua tu nirudi leo kwa sababu kazi nilionda kufanya imeisha toka jana jion.

Sasa nikampigia mchepuko wangu leo narudi aje anipokee leo narud zangu Dar , na nikamwambia ntafika saa kumi na moja so awe hapo,

Huku wife anajua kesho jmos ndio nakuja tena jion sana ndio ratiba nilivyompa ila plan yangu ni nikalale sehem na mchepuko wangu na kushinda nae mpka jion.

Nimefika stand sijamkuta na piga simu hapokei nikasema poa acha tu niende zangu home kwanza nimechoka sana ntamchek next time huu ni mchepuko haunaga shida niko nae kitambo na anamjua wife vizur sana ,pia anasubir nimwoe mke wa pili nimemwambia awe na subira,

Hata hivo nimefika home ndio mchepuko anajibu Sorry nilipitiwa nilikuwa nimelala so nakusubir tunafanyaje nikamjibu Poa subir ntakwambia,

Tatizo nimerud home wife hayupo na sasa inaenda saa tatu usiku nimefika toka saa moja usiku na nimempigia simu just kumwambia vipi huko unaendeleaje kasema yupo home anaangalia tamthilia zake yaan hapa nilipo uongo sijui kaanza lin huyu wife

Tena kwa saut kavu kabisa anasema nipo nyumbani anaangalia tu tamthilia na anaanza kunihoji unarudi saa ngapi kesho mi nikamjibu tu kesho usiku saa mbili hivi kasema sawa nimletee zawadi.

nafkiri tabia hii imeanza muda kidogo japo huwez kujua kirahis ila mtu unaye kaa nae mabadiliko kidogo tu utajua kuna shida maana alikuwa hayupo huru sana na simu yake na hata akiiweka anaigeuza sehem ya mbele inakua chin na passward kabadilisha na simwoni tena kufatilia nyendo zangu kama zaman.

itakuwa kuna msela ameshakula mzigo tayar naleo mida hii itakuwa anakula,,

Nimefika tu kuingia ndani bafun mtu ameoga,mswaki amepiga,na ni kama tumepishana tu mi nafika saa moja kamil yy itakuwa ametoka saa kumi na mbili jioni.,

Hapa nawaza sijui nimpigie tu mchepuko wangu nikalala huko au nimpigie wife arud home .

Inauma lakn hebu wakuu nipeni msaada tumezaa nae watoto wa wili wote madume sema walienda kwa bibi yao mwezi sasa ndio maana amekuwa huru kutoka.,

Pia huwa inaeza kuwa hata mimi nimechangia maana huwa nachepuka marakwamara lkn hajawahi kunikamata ila hiyo haihalalishi yeye pia achepuke.

Nawasilisha...



Langley we have a problem....
Mission is copromised
 
Ndio maana sina papara isingekuwa ule mchepuko kutopokea simu na kutokuja kunipokea sahii ningekuwa guest nakula na yy analiwa huko nikirud sijui chochote ila hii imeonyesha maisha tunayo ishi ya kufichana vitu japo yy ndio ameanza hiv karibu but kumsamehe itakuwa ngum sana
Ni ngumu sana, nakubaliana nawe, ila inawezekana🤔!
 
bofy hicho kishale hapooo [emoji3489][emoji3489]
Screenshot_20210528-234738.jpg
 
Kwa namna yoyote ile ukifanya ajue kua umejua hayupo utafeli kumnasa Ready handled.

Chakufanya,
-Toka hapo home,
nenda kabane sehem barabara ya kuingia kwako inaishia afu piga Rada uone ataletwa na Nani na atakuja SAA ngapi.
Baaada ya uchunguz nenda kalale pengine mpk kesho MDA ulopanga urudi.

-kesho yake ukirud Anza KAZI yako ya upelelezi pole pole utamjua IN &OUT
Mkuu apeleleze nini na mke yupo hom anacheki move?
Mbona kama ni ushahidi tosha
 
Usiweke mzee..hiyo ni faragha yako tafadhali, Huwezi jua kesho ina nini..

Mnaweza sameheana alafu ukashindwa kuitoa humu

Poa amerudi na amevaa nguo kapendeza sana kitu cha kwanza nimeshindwa kuvumilia imebid nimnase kibao yupo analia hapo na anasema alikuwa kwa Rafiki yake
 
yaani picha ndiyo linazidi kunoga namie ndiyo nishaanza kusinzia maskiini, naombeni kahawa eti, nalalaje yaani.??
Unaanzia wapi kulala upitwe na huu uhondo? Hebu jikaze!!!

Ma admin wenyewe wa JF nawaona wanazunguka zunguka tu kwenye kordo wanaenda kunawa uso na kurudi 😆😆😆 Melo mwenyewe yule pale kakaa ndio kwaanza anakunywa kahawa 😀
 
Akifanya hivi, atabalance story, means hawezi pata mwanamke ndani ya usiku mmoja na kumleta home.

Mwanamke atasema alijua ana mchepuko akalipiza.

Solution jamaa leo awe Saint kabisa, tena akisharudi kama ni mimi wala nisingeanza kwa kuwaka, Namwambia tu aya mtoto mzuri nieleze ulikuwa wapi usiku huu?

As time goes hasira huwa zinakuja zenyewe tu, na adhabu huwa inachaguliwa, au unamwambia lala mtoto mzuri utaniambia kesho.

Akiingia pora simu, Msamaha utatoka endapo atatoa password
Wanafutaga siku hiz..atakupa password lakin ndani unakuta sms zako tu
 
Back
Top Bottom