Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu unaishi Dar sehemu gani?
Je mkeo ni mfupi wastani mweusi ana kialama flani usoni?
Kama ndo huyo basi atakuwa analiwa na bro mmoja muuza majeneza hapo mitaa ya Mwananyamala.!
Nasema hivyo sababu kila mara nikija Dar huwa nafikia kwa hiyo jamaa ni rafiki yangu kikazi maana sote tunauzaga majeneza sasa mara kadhaa niliwahi kukuta akiwa na mwanamke flani kama huyo na akanambia kuwa huyo ni mke wa mtu na huwa anamla pindi mmewe akiwa mbali
Kama vipi, ww mwambie umekuwa unafahamu yote anayofanya unapokuwa safari! Hivyo uliamua kurudi mapema na kufuatilia nyendo zake zote! Unayajua yote! Unachotaka yy mwenyewe ajieleze bila kuficha chochote kwani unajua vituko vyote! Na yamkini unaweza fikiria kuendelea nae kama hataweka uongo wowote😡!Japo roho inauma lakin papara haina maana unaeza kuua mtu bure au ukaumia ukafa haya maisha hayapo fair kila siku
Kitaalamu hili tunasema "Jino kwa jino".Wakuu ipo hivi nilisafir toka jtano mkoa flan plan ya kurudi ilikuwa jmos kesho jion lakin nikaamua tu nirudi leo kwa sababu kazi nilionda kufanya imeisha toka jana jion.
Sasa nikampigia mchepuko wangu leo narudi aje anipokee leo narud zangu Dar , na nikamwambia ntafika saa kumi na moja so awe hapo,
Huku wife anajua kesho jmos ndio nakuja tena jion sana ndio ratiba nilivyompa ila plan yangu ni nikalale sehem na mchepuko wangu na kushinda nae mpka jion.
Nimefika stand sijamkuta na piga simu hapokei nikasema poa acha tu niende zangu home kwanza nimechoka sana ntamchek next time huu ni mchepuko haunaga shida niko nae kitambo na anamjua wife vizur sana ,pia anasubir nimwoe mke wa pili nimemwambia awe na subira,
Hata hivo nimefika home ndio mchepuko anajibu Sorry nilipitiwa nilikuwa nimelala so nakusubir tunafanyaje nikamjibu Poa subir ntakwambia,
Tatizo nimerud home wife hayupo na sasa inaenda saa tatu usiku nimefika toka saa moja usiku na nimempigia simu just kumwambia vipi huko unaendeleaje kasema yupo home anaangalia tamthilia zake yaan hapa nilipo uongo sijui kaanza lin huyu wife
Tena kwa saut kavu kabisa anasema nipo nyumbani anaangalia tu tamthilia na anaanza kunihoji unarudi saa ngapi kesho mi nikamjibu tu kesho usiku saa mbili hivi kasema sawa nimletee zawadi.
nafkiri tabia hii imeanza muda kidogo japo huwez kujua kirahis ila mtu unaye kaa nae mabadiliko kidogo tu utajua kuna shida maana alikuwa hayupo huru sana na simu yake na hata akiiweka anaigeuza sehem ya mbele inakua chin na passward kabadilisha na simwoni tena kufatilia nyendo zangu kama zaman.
itakuwa kuna msela ameshakula mzigo tayar naleo mida hii itakuwa anakula,,
Nimefika tu kuingia ndani bafun mtu ameoga,mswaki amepiga,na ni kama tumepishana tu mi nafika saa moja kamil yy itakuwa ametoka saa kumi na mbili jioni.,
Hapa nawaza sijui nimpigie tu mchepuko wangu nikalala huko au nimpigie wife arud home .
Inauma lakn hebu wakuu nipeni msaada tumezaa nae watoto wa wili wote madume sema walienda kwa bibi yao mwezi sasa ndio maana amekuwa huru kutoka.,
Pia huwa inaeza kuwa hata mimi nimechangia maana huwa nachepuka marakwamara lkn hajawahi kunikamata ila hiyo haihalalishi yeye pia achepuke.
Nawasilisha...
Jiandae kesho kule kwenye TUNDA KIMASIHARA kujionea ushuhuda jamaa alivyojilia mbususu waziwazi
We jamaa una utulivu kama mimi, Subiri ndege aingie mwenyewe mtegoni.
Matukio kama hayo huwa yanafaa surprise. Aje akukute tu home umechill. Alafu ukiweza chati nae saana kama akijibu sms yako.
Uko mbele ya mda[emoji23][emoji23][emoji23]23:30
Kesho jamaa mapema anaandikaJiandae kesho kule kwenye TUNDA KIMASIHARA kujionea ushuhuda jamaa alivyojilia mbususu waziwazi
Hapana bana, hii bad move...Unafel mkuu..mpigie simu mchepuko wako aje hapo home na nyinyi wekeni tamthilia yenu...wife yeye akirudi atakuta tayari mpo epsode ya nne au tano hivi...
Inawezekana nahis pia huwa kuna sehem anasemaga anaenda kuchukua Muv na hapa nimecheck flash nichek muv zangu sijaikuta
Nimemtumia msg wasap na kawaida ya Usiku mwema naona hajajibu ngoja tuone
Kuna watu walipata kusema,hata kama ingetokea UONGO ungekuwa ni jambo zuri na ukitenda uongo unapata swawabu,basi wasinge sema uongo kwa ajili ya kujitakasa.Ndoa ndoano ndo hii
Pole sana..
Binafsi nimegundua nachukia uongo kuliko cheating....
atasahau kama alienda kugongwa[emoji38][emoji38][emoji38] Kabisa mkuu,atakuta asubuhi ishafika chaaap