Manga ML
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 9,805
- 15,529
Kudanganya nikosa tosha ya nini kumkagua?Huyo akirudi usimruhusu aende kuoga mkague kwanza chini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kudanganya nikosa tosha ya nini kumkagua?Huyo akirudi usimruhusu aende kuoga mkague kwanza chini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukichimama nchale, ukija nchale, ukichuchumaa nchale [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].... hii tunaiita mbwa kala mbwa
Sasa imeshaonekana ni chai imewekwa vitunguu swaum
Mzee kwaiyo mpaka ss iv bado hajafika?
Mwambie jamaa atoke hapo kwake nimrudishe mke wake aking'ang'ania kukaa simrudishi
Zipo ndoa nyingi zaidi zinazodumu kuliko zinazovunjika.Haki mnatuogopesha sana sisi ambao hatujaoa.
Huyo akirudi usimruhusu aende kuoga mkague kwanza chini
Mi nasubiri mrejesho mpk saa sita iwe Ni sms au amerudi,Poa thanks saa sita mbali nilitaka nimpigie mida hiyo ila nahis uzalendo utanishinda
Kuna muhuni kajikunja anapeleka moto hadi asubuhi.
Zima taa, na weka mazingra yawe kama hujarudi! Ikiwezekana kaa nje ya nyumba ukipiga doria!
Vipi kasharudi mkuu?
KweliKudanganya nikosa tosha ya nini kumkagua?
Na hivyo vidume sio vyakwake100% wote wachepukaji! wife wako alienda kuliwa na sio mara moja!!