Leo nahisi mke wangu anachepuka huko alipoenda

Leo nahisi mke wangu anachepuka huko alipoenda

Pili yawezekana yuko anawekwa mahali na mchepuko wako anajua hivyo altaka uende kwako ujue tabia za mkeo ili umwache si umeahaidi kumwoa mchepuko mke wa pili, yeye hataki ataka awe peke yake ukimwacha huyo wa kwanza
 
Sijala mchepuka haelewi anauliza tu vip hatuonani tena nimemwambia asubir
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kwa hiyo hamu ya mchepuko imekuishia!?
 
  • Kicheko
Reactions: BAK
Ntawapa mrejesho Amerudi saa ngapi home na majibu yake yatakuwa ni yapi saa tatu na Nusu sasa hajarudi
Mtumie meseji hii:

"Usiku mwema mke wangu, I love you".

Ukweli hapo huna mke unless umeanza utekelezaji wa sheria ya Kwa Mandela mke kuoa wanaume wengi.
 
Kama una ujasiri nenda kwa mchepuko wako mwambie, nimegundua mke wangu ananisaliti nyumbani hayupo na twende , ntamwacha ntakuoa atakupeleka kwenye fumanizi mechi haiuzwi mbali(mpange kiume sikufundishi maneno) uende ukasikio miguno ya mkeo
 
Sasa unalia wivu wa nini? ( umepata unayefanana nae)

Weka mizigo nenda kwa mchepuko wako urudi kesho.

Kwanza aliyekuruhusu kurudi mapema nani?

Nanj kakuruhusu kugundua anachepuka? Mbona yeye katulia hafuatilii kuchepuka kwako?

Narudia vaa nenda kwa mchepuko

So ndio maisha mliochagua....
 
Sio rahis hivo mkuu hata nikienda kwa mchepuko wangu sintofanya chochote
 
Sasa unalia wivu wa nini? ( umepata unayefanana nae)

Weka mizigo nenda kwa mchepuko wako urudi kesho.

Kwanza aliyekuruhusu kurudi mapema nani?

Nanj kakuruhusu kugundua anachepuka? Mbona yeye katulia hafuatilii kuchepuka kwako?

Narudia vaa nenda kwa mchepuko

So ndio maisha mliochagua....
Aaah kabisa, asifanye mambo yawe mengi.
 
Back
Top Bottom