Leo nahisi mke wangu anachepuka huko alipoenda

Both teams score second half
 
Pole sana mkuu, hata kama unachepuka ila kwa hili la mkeo nae kuchepuka ni noma, una moyo jamaa mpaka sahv uko kimya tu unamsubir hujamwambia chochote
 
Mkuu washa tv na radio halfu funga mlango sepa hadi kesho.

Fungua ondoka nazo,kesho ukija atakueleza alienda wapi wakati kakudanganya yupo home!!
 
Muosha huoshwa kamanda.
 
Pole sana najua unapitia wakati mgumu mnoo,ila ukweli ni kwamba huna mke hapo huyo ni Malaya kama Malaya wengine.Ukiamua kumsamehe basi hakuna kosa utakuja muacha ila kama mwanaume lazima ufanye kitu ili urudishe angalau heshima uliyokuwa nayo.
 
Mkuu washa tv na radio halfu funga mlango sepa hadi kesho.

Fungua ondoka nazo,kesho ukija atakueleza alienda wapi wakati kakudanganya yupo home!!
Mkuu unadhani nyumba aliikuta wazi? Ina maana kila mtu ana funguo yake, labda abadili vitasa.

Jamaa aende tu kulala kwa mchepuko a.k.a magige

Asubiri kufa tujue tutamzika wapi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Pole sana mkuu, hata kama unachepuka ila kwa hili la mkeo nae kuchepuka ni noma, una moyo jamaa mpaka sahv uko kimya tu unamsubir hujamwambia chochote

Yaa sija sema chochote
 
Saa nne hii wife hajarud leo kaZ ipo mkuu usiombe yakukute
Kuwa mvumilivu,utamshuhudia na anaye mkaza,atamsindikiza hadi nyumbani wakijua haupo.
Huwa anatumia kilevi?maana atakuja yupo mbwai,na katumika chapa chapa.
Mbaya ukute ni mtu unafahamiana naye anakukazia mkeo.
 
Mkuu unadhani nyumba aliikuta wazi? Ina maana kila mtu ana funguo yake, labda abadili vitasa.

Jamaa aende tu kulala kwa mchepuko a.k.a magige

Asubiri kufa tujue tutamzika wapi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nilikuta kafunga funguo kaenda nazo sema ninafunguo nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…