Leo nahisi mke wangu anachepuka huko alipoenda

Hata kama mwanaume anachepuka , haifai kabisa mwanamke kuchepuka wala haifai kabisa . Wewe chakufanya ungeli mwambia naomba hapo ulipo usiondoke nambie uposehemu gani nakuja kukufata halafu chapu unachukua boda kwenda kumfata
 
Yaan kama unatubembeleza mkuu kwamba tumekushikia mkeo kwa hyo unaomba tumrudishe,kiuhalisia ushapoteza uanaume wako na ndo maana mkeo kaamua kukudanganya,kwanza kosa kubwa ulilofanya ni kumuonesha kuwa unachepuka

Hilo kwa mwanamke lazma arevange tu,pili ushapoteza hisia nae na hiko analijua kwan mwenyew unaonesha huna wivu na mkeo na ndo maan hujaonesha kuumia kwa kukudanganya,ashauri,amua kuurudisha uanaume wako kwa kuwa na msimamo kama kichwa cha familia...leo amekudanganya yupo nyumban wkt hayupo na hujaonesha reaction yyte,kesho akimleta hapo nyumban anaempiga msharboko utauliza kwa nn amefanya ivo?
 
Hiyo wazee wa kuweka mkeka wanaita Both teams to score

Usisahau kuleta mrejesho mkuu.
 

Ni kweli kabisa mkuu
 
Mkeo ana anagalia tamthilia mkuu huyo alietoka sio mkeo zingatia hilo mkuu
Pole sana
 
Kweli dunia wanaume wamekwisha. Huyo kwangu hana hata mjadala angekuta vitu vyake nje na nimebadilisha kitasa cha mlango. Unato...mbewa unachekelea kama zuzu vile. Wewe ni mmoja wa wanaume wapuuzi sana.

Relax mkuu ukiwa na jazba haya maisha utakufa haraka kwahiyo usiku huu nianze kuhangaika kubadilisha vitasa vya milango? Na kutupa nguo njee khaa like seriously,,kwan nikimwambia tu mimi na ww bas was arud kwao kiustarabu itakuwa na ubaya gan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…