Leo nahisi mke wangu anachepuka huko alipoenda

Leo nahisi mke wangu anachepuka huko alipoenda

Kaka mkubwa,kachukue Kvant kubwa ugonge wakati unamsubiri wife.Utapata majibu
 
IMG_20210528_100056.jpg
 
Wakuu ipo hivi nilisafir toka jtano mkoa flan plan ya kurudi ilikuwa jmos kesho jion lakin nikaamua tu nirudi leo kwa sababu kazi nilionda kufanya imeisha toka jana jion.

Sasa nikampigia mchepuko wangu leo narudi aje anipokee leo narud zangu Dar , na nikamwambia ntafika saa kumi na moja so awe hapo,

Huku wife anajua kesho jmos ndio nakuja tena jion sana ndio ratiba nilivyompa ila plan yangu ni nikalale sehem na mchepuko wangu na kushinda nae mpka jion.

Nimefika stand sijamkuta na piga simu hapokei nikasema poa acha tu niende zangu home kwanza nimechoka sana ntamchek next time huu ni mchepuko haunaga shida niko nae kitambo na anamjua wife vizur sana ,pia anasubir nimwoe mke wa pili nimemwambia awe na subira,

Hata hivo nimefika home ndio mchepuko anajibu Sorry nilipitiwa nilikuwa nimelala so nakusubir tunafanyaje nikamjibu Poa subir ntakwambia,

Tatizo nimerud home wife hayupo na sasa inaenda saa tatu usiku nimefika toka saa moja usiku na nimempigia simu just kumwambia vipi huko unaendeleaje kasema yupo home anaangalia tamthilia zake yaan hapa nilipo uongo sijui kaanza lin huyu wife

Tena kwa saut kavu kabisa anasema nipo nyumbani anaangalia tu tamthilia na anaanza kunihoji unarudi saa ngapi kesho mi nikamjibu tu kesho usiku saa mbili hivi kasema sawa nimletee zawadi.

nafkiri tabia hii imeanza muda kidogo japo huwez kujua kirahis ila mtu unaye kaa nae mabadiliko kidogo tu utajua kuna shida maana alikuwa hayupo huru sana na simu yake na hata akiiweka anaigeuza sehem ya mbele inakua chin na passward kabadilisha na simwoni tena kufatilia nyendo zangu kama zaman.

itakuwa kuna msela ameshakula mzigo tayar naleo mida hii itakuwa anakula,,

Nimefika tu kuingia ndani bafun mtu ameoga,mswaki amepiga,na ni kama tumepishana tu mi nafika saa moja kamil yy itakuwa ametoka saa kumi na mbili jioni.,

Hapa nawaza sijui nimpigie tu mchepuko wangu nikalala huko au nimpigie wife arud home .

Inauma lakn hebu wakuu nipeni msaada tumezaa nae watoto wa wili wote madume sema walienda kwa bibi yao mwezi sasa ndio maana amekuwa huru kutoka.,

Pia huwa inaeza kuwa hata mimi nimechangia maana huwa nachepuka marakwamara lkn hajawahi kunikamata ila hiyo haihalalishi yeye pia achepuke.

Nawasilisha...
Kalale kwa mchepuko, kesho Alfajiri rudi home uje umsubiri aje.

Kifuatacho ITV.......
 
Yawezekana muda wampgia simu mchepuko walikuwa wote na bado wako wote ndo maana mchepuko wako kashindwa kuja
 
Both team to score apo ila mkuu mchek wife tu arud home
 
Wifey wako atakuwa anajua uchepukaji wako, kaamua kukausha ila nae ana justify kwa kuchepuka, Ni vigumu sana kwa mke kukubali kugongwa nje kama hajaona cheatings za mume.

Inaeza kana lkn huwa akiona kitu tofaut huwa hakai kimya anauwasha moto lkn ni muda sasa hana habar na simu yungu na simu yake anafichaficha
 
Back
Top Bottom