Leo najisikia kumwambia mme wangu nampenda kupitia forum hii

Ulilala nje nini? ... unasutwa na matendo yako?

NA NYIE WAPASHU MTU ASIUSEMEE MOYO KAMA MAPENZI YANAONGEEZEKA ULITAKA AKALE LIMAU...BASI MPM UFURAHI NA WEWE LOH!!!

so sweet of you mwanahalisi

thank you
 
Last edited:
mh nakuvulia kofia bado upo?

Imeandikwa mtua ataachana na baba na mama yake, ataambatana na mkewe nao wawili watakuwa mwili mmoja. Bado niponipo bana, endelea kuivua hiyo kofia, usiivae tena! Hahahahahah! Masa na Burn wameshafulia, na wewe ushavua kofia, namsubiria na yule polisi amwage manyanga nibakie peke yangu.
 
Nitafutie yule mdogo wako nae anipende maana jinsi ulivyo bomba napenda sana uwe ashem wangu, inaonyesha hata mdogo wako ni bomba kama wewe. Mimi sikutaki wewe kama wengine wanavyofanya hapa. Poa shem wangu wa ukweli
 
Binamu ongea vizuri na mimi, nikuwekee mambo sawa. Wala hujakosea, mdogo wake ni bomba ile mbaya, kidogo siku moja shetani anizidi nguvu.
 
Chrispin naona na vifungu vya bible unavyo kws wingi endelea kutoa mistari
 
......and the winner is Chrispin.....!
mkuu nina pingamizi na haya matokeo.Nimeonewa sana,nimedhalilishwa sana katika kinyang`anyiro hiki...mnadiriki kutangaza matokeo bila kuniuliza,nimetafakari sana,nimefikiria sana na nimeamua kuandika kupinga matokeo ya chrispin kuwa mshindi..tehhhh
 
Nasikia uzembe wako ulisababisha foleni kubwa ya magari kule Ubungo, nenda kazini afande, mambo ya mapenzi tuachie wenye fani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…