Leo najisikia kumwambia mme wangu nampenda kupitia forum hii

Na wewe umetokea wapi kuharibu hali ya hewa mume wa 1st lady ni CHRISPIN we sijui wivu unaleta siasa zako hapa.....unajua tumetokea wapi tangu jana we have toil a lot

Mueleze papa mukuu. Baambie na bengine. Benye wivu bajinyonge.
 
Na wewe umetokea wapi kuharibu hali ya hewa mume wa 1st lady ni CHRISPIN we sijui wivu unaleta siasa zako hapa.....unajua tumetokea wapi tangu jana we have toil a lot
Sasa wewe uliingiaje kinyang'anyiri cha mtu na mkewe Nguli jamani!?KHAA!SI UCHOKOZI HUO?
 
Tulikuwa tunapima OIL....kumbe 1st lady ana msimamo sn, Masanilo na mbwex2 zote hoi....
 
KUNRADHI BINAMU! Nahisi kama niliiona ila haikuwa na jina la mume...kumbe nahitaji miwani ehh?
MABROOK!

Usijali cousin tutakupeleka CCBRT na FL1 wangu. Bili atalipia wifio.
 
Binamu na wewe! Unataka kujua nini na keshakuambia kakuta mamaa yuko gado kimsimamo.

Si ndo nilitaka aseme mwenyewe oil ilikuwa mwake. Ye anaendesha Fiat 682 N3 anajaribu oil ya Mercedes benz, wapi na wapi?
 
Nguli, Fidel, Yo Yo Police no way....tujipange upya!

Vipi tumotkee nani sasa? nyama yao? au Belinda? au Prety? ngoja ni ku pm strategy mpya na CHRISPIN u seems dangerous hatukutaki kwenye denge wetu wwewe una wako sasa.
 
Vita ni kwa Chrispin maana tulikuwa naye masela leo yeye ametutosa kisa FL! Bellinda huyu mwacheni analindwa na mitambo ya kuzuia wenye kutamani vya wenzao!
 
Mkuu kuwa na wangu haimaanishi hakuna mechi za mchangani.
 
Vita ni kwa Chrispin maana tulikuwa naye masela leo yeye ametutosa kisa FL! Bellinda huyu mwacheni analindwa na mitambo ya kuzuia wenye kutamani vya wenzao!

Mkuu bado tuko pamoja katika mechi za maveterani. Chondechonde, msijetupa mti na jongoo pamoja.
 
Back
Top Bottom