WomanOfSubstance
JF-Expert Member
- May 30, 2008
- 5,457
- 963
Umesomeka mkuu, usisahau kuja na avatar yako, inaweza kusaidia zaidi.
Avatar inatosha kumpa hiyo kazi .. huna haja ya German Sherpard, dobermine wala rottweiler
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umesomeka mkuu, usisahau kuja na avatar yako, inaweza kusaidia zaidi.
Na wewe umetokea wapi kuharibu hali ya hewa mume wa 1st lady ni CHRISPIN we sijui wivu unaleta siasa zako hapa.....unajua tumetokea wapi tangu jana we have toil a lot
the winner is my husband Chrispin bwana masanilo😀
Sasa wewe uliingiaje kinyang'anyiri cha mtu na mkewe Nguli jamani!?KHAA!SI UCHOKOZI HUO?Na wewe umetokea wapi kuharibu hali ya hewa mume wa 1st lady ni CHRISPIN we sijui wivu unaleta siasa zako hapa.....unajua tumetokea wapi tangu jana we have toil a lot
Na wewe umetokea wapi kuharibu hali ya hewa mume wa 1st lady ni CHRISPIN we sijui wivu unaleta siasa zako hapa.....unajua tumetokea wapi tangu jana we have toil a lot
KUNRADHI BINAMU! Nahisi kama niliiona ila haikuwa na jina la mume...kumbe nahitaji miwani ehh?Vera nakuuliza tena, hukuiona hii quote?
Sasa wewe uliingiaje kinyang'anyiri cha mtu na mkewe Nguli jamani!?KHAA!SI UCHOKOZI HUO?
Tulikuwa tunapima OIL....kumbe 1st lady ana msimamo sn, Masanilo na mbwex2 zote hoi....
Binamu na wewe! Unataka kujua nini na keshakuambia kakuta mamaa yuko gado kimsimamo.Mkakuta oil ikoje mkuu?
KUNRADHI BINAMU! Nahisi kama niliiona ila haikuwa na jina la mume...kumbe nahitaji miwani ehh?
MABROOK!
Tulikuwa tunapima OIL....kumbe 1st lady ana msimamo sn, Masanilo na mbwex2 zote hoi....
Binamu na wewe! Unataka kujua nini na keshakuambia kakuta mamaa yuko gado kimsimamo.
Mkakuta oil ikoje mkuu?
Nakuaminia pamoja na wifiUsijali cousin tutakupeleka CCBRT na FL1 wangu. Bili atalipia wifio.
Will bounce back with new strategies....
Never try again mpwa. Safari hii utatoka manundu.
Nguli, Fidel, Yo Yo Police no way....tujipange upya!
Vipi tumotkee nani sasa? nyama yao? au Belinda? au Prety? ngoja ni ku pm strategy mpya na CHRISPIN u seems dangerous hatukutaki kwenye denge wetu wwewe una wako sasa.
Vipi tumotkee nani sasa? nyama yao? au Belinda? au Prety? ngoja ni ku pm strategy mpya na CHRISPIN u seems dangerous hatukutaki kwenye denge wetu wwewe una wako sasa.
Vita ni kwa Chrispin maana tulikuwa naye masela leo yeye ametutosa kisa FL! Bellinda huyu mwacheni analindwa na mitambo ya kuzuia wenye kutamani vya wenzao!
Mkuu bado tuko pamoja katika mechi za maveterani. Chondechonde, msijetupa mti na jongoo pamoja.