Leo najisikia kumwambia mme wangu nampenda kupitia forum hii

Leo najisikia kumwambia mme wangu nampenda kupitia forum hii

Huwezi jua labda kashaachana naye. Mambo ya kutesti zari!

Wewe Iribin umeniota leo ...????

Kilichoungwa na mungu mwanadamu hakitenganishi bwana ..hiyo ndoa ipo tu ...next month inabidi uandae anivesari ya miaka 35 ya ndoa .....
 
Wewe Iribin umeniota leo ...????

Kilichoungwa na mungu mwanadamu hakitenganishi bwana ..hiyo ndoa ipo tu ...next month inabidi uandae anivesari ya miaka 35 ya ndoa .....

Kuna ubaya wowote nikikuota?
 
Ulisha mpiga chini mmeo nn?
Umesha sahau kama unampenda lol hii sasa aibu.
😉
Binamu nampenda jamani mbona kila siku tukiongea kwa simu nakwambia ama baada ya salaam nampenda mme wangu ...
 
Back
Top Bottom