FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
- Thread starter
- #261
Hehehe unaendeleza mwendelezo endelevu.
hahahaha nyie mmeitoa wapi hii 🙂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hehehe unaendeleza mwendelezo endelevu.
Hongera kwa kumpenda mumeo FL1.
hahahaha nyie mmeitoa wapi hii 🙂
Huwezi jua labda kashaachana naye. Mambo ya kutesti zari!
hahahaha nyie mmeitoa wapi hii 🙂
Binamu Chrispin I ..L...U ..
Thanks
Anajua kupenda sana huyu mpwa
hahahaha nyie mmeitoa wapi hii 🙂
Huwezi jua labda kashaachana naye. Mambo ya kutesti zari!
Nimeiona hiyo red. Naiweka moyoni mwangu.
Thanks!
Kilichoungwa na mungu mwanadamu hakitenganishi bwana .......
Vipi mambo bado shwari?
Umeyataka mwenyewe! Ulinywe!Gosh!!!
Umeyataka mwenyewe! Ulinywe!
Wewe Iribin umeniota leo ...????
Kilichoungwa na mungu mwanadamu hakitenganishi bwana ..hiyo ndoa ipo tu ...next month inabidi uandae anivesari ya miaka 35 ya ndoa .....
Hivi Mungu anatumia gundi gani? au welding rod?
Na kwa nn kisitenganishwe na mwanadamu?
😉Ulisha mpiga chini mmeo nn?
Umesha sahau kama unampenda lol hii sasa aibu.
Kuna ubaya wowote nikikuota?
😉
Binamu nampenda jamani mbona kila siku tukiongea kwa simu nakwambia ama baada ya salaam nampenda mme wangu ...
Mabinamu kuna mtu kawaambia nimeachika??