Khadija Mtalame
Senior Member
- Jul 14, 2021
- 185
- 715
wakuu kwema?
Leo nakutana na mtu ananiuliza eti kati ya Juma nature na Diamond nani zaidi? nikamuangalia nikamuuliza una umri gani kaniambia kazaliwa 2002, nikacheka sana halafu ni mbishi mpaka nikataka kumzaba makofi.
ebu tumsaidieni nani mkali kati ya hio miamba miwili hapo juu,then nitampa link asome comment za watu ambao ni great thinkers
"STUPID IS KNOWING THE TRUTH,STILL SEEING THE TRUTH BUT BELIVE THE LIES"