Khadija Mtalame
Senior Member
- Jul 14, 2021
- 185
- 715
STUPID IS KNOWING THE TRUTH,STILL SEEING THE TRUTH BUT BELIVE THE LIES"[/I][/B]
Hii lugha hii 🤧still not correcting your that mistake but still believing on the gossips on your post[emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Wee Acha kabisa,Hii lugha hii [emoji1784]
Hebu niache kujimwambafai aseeeWee Acha kabisa,
Kozi ya miez 3 kwa Ras Simba acha tujimwambafai na sisi humu jf[emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Enjoy ur life, ukiangalia watakuonaje utakuja kufa na sonona bure ukiwa bado umri mdg[emoji4]Hebu niache kujimwambafai aseee
Kwani mimi naangalia watanionaje?😂Enjoy ur life, ukiangalia watakuonaje utakuja kufa na sonona bure ukiwa bado umri mdg[emoji4]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mara nyingi naliona Hilo[emoji4]Kwani mimi naangalia watanionaje?[emoji23]
Unaona vibaya
Ungemwambia Civilian Coin ndio borawakuu kwema?
Leo nakutana na mtu ananiuliza eti kati ya "Juma nature na diamond" nani zaidi? nikamuangalia nikamuuliza una umri gani kaniambia kazaliwa 2002, nikacheka sana halafu ni mbishi mpaka nikataka kumzaba makofi.
ebu tumsaidieni nani mkali kati ya hio miamba miwili hapo juu,then nitampa link asome comment za watu ambao ni great thinkers
"STUPID IS KNOWING THE TRUTH,STILL SEEING THE TRUTH BUT BELIVE THE LIES"
Umetoa tafsiri ya magreat thinkers kwakweli ,nadhani hapa ndipo haswa kipimo cha kujua Nani mtabe, pressure yakwenda kumuangalia msanii akija yaani,au kubabaika ukikutana nae,Apo mtaan kwenu sku ukiskia juma nature kaja gengeni utaenda kumuangalia...? Na ukiskia diamond yupo gengeni utaenda kumuangaLia...?