Leo nakutana na mtu ananiuliza eti kati ya Juma Nature na Diamond nani zaidi?

Kila mtu na zama zake mkuu.

Ila nikiwa mitaa ya kujidai kusema kweli nyimbo za Juma zinabamba mno hata kama oldies ... haziishi vibe.

Imagine Mugambo wanaruka na kukanyagana [emoji23] halafu uje utuwekee sijui baikoko
 
Dogo yuko vizuri kichwani niwewe tu hujajua kuendana nae.

Anazisikia sifa nyingi za nature ila akijaribu kumzoom anamuona mtu fulani mwenye umaarufu asiye na kitu.

Ulipaswa umuelimishe kuwa kati yao mmoja ni mwanamziki mwingine ni mfanyabiashara angekuelewa
 
ukijua kutambua uzuri wa asili bila make up. nature ametoboa kipindi hakuna yutubu, Instagram, twita wala Facebook zaidi ya magazeti ya shigongo akaweza kutoboa na kuvuka mipaka ule sio uchawi ni nature tu. hawa watoto wa siku izi Wana vitu vingi vya kuwabust
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…