Leo nalala nyumbani kwa Ex wangu,nahitaji maombi yenu wakuu.

She my ex girlfriend for last five years.
Well katika hizi hustle za maisha nimejikuta leo niko mji anaoishi.ktk blah blah za chattings za hapa na pale leo natakiwa kulala kwake while her boy is currently huko new York kwenye mambo yao ya diplomatic mission cos the guy is working with one of Tanzanian embassy's huko majuu.
Should I sleep with this lady wakuu?
Baby oil utazikuta kwake
 
Sasa kizungu ni cha nini mkuu na akati ukijui.
 
while her boy is currently huko new York kwenye mambo yao ya diplomatic mission cos the guy is working with one of Tanzanian embassy's huko majuu.
Najua unachangamsha genge, kama ingekuwa kweli usingefungua code kirahisi hasa hawa jamaa mara nyingi ni TISS!

Kama ni kweli ,wewe ni bonge la chizi na taahira.Jamaa litakuwa limeweka tracker kibao ambazo mke hawezi kujua na wewe huwezi kujua!
 
She my ex girlfriend for last five years.
Well katika hizi hustle za maisha nimejikuta leo niko mji anaoishi.ktk blah blah za chattings za hapa na pale leo natakiwa kulala kwake while her boy is currently huko new York kwenye mambo yao ya diplomatic mission cos the guy is working with one of Tanzanian embassy's huko majuu.
Should I sleep with this lady wakuu?
Aisee ni hatari sana acha hilo jambo linaweza likatokea jambo lolote usilolitarajia utajutia maisha yako yote. Halafu ya nini uhangaike na mke wa mtu ? Acha acha acha. Kama ni kweli, lakini kama umeamua kuchangamsha watu humu sawa.
 
She my ex girlfriend for last five years.
Well katika hizi hustle za maisha nimejikuta leo niko mji anaoishi.ktk blah blah za chattings za hapa na pale leo natakiwa kulala kwake while her boy is currently huko new York kwenye mambo yao ya diplomatic mission cos the guy is working with one of Tanzanian embassy's huko majuu.
Should I sleep with this lady wakuu?
Oyaa naomba nikutukane kidogo......
Zobanangai mkubwa wee
 
Mume mtarajiwa yupo nje akitafuta maisha yeye anachat na mlamba lips asiyejua hata faragha ni nini.
 
She my ex girlfriend for last five years.
Well katika hizi hustle za maisha nimejikuta leo niko mji anaoishi.ktk blah blah za chattings za hapa na pale leo natakiwa kulala kwake while her boy is currently huko new York kwenye mambo yao ya diplomatic mission cos the guy is working with one of Tanzanian embassy's huko majuu.
Should I sleep with this lady wakuu?
Mpaka hapo kazi ya jamaa ushaijua but still unajizima data haya
 
She my ex girlfriend for last five years.
Well katika hizi hustle za maisha nimejikuta leo niko mji anaoishi.ktk blah blah za chattings za hapa na pale leo natakiwa kulala kwake while her boy is currently huko new York kwenye mambo yao ya diplomatic mission cos the guy is working with one of Tanzanian embassy's huko majuu.
Should I sleep with this lady wakuu?
Jiandae pia shingo kutengana na kiwiliwili.
 
Back
Top Bottom