Hongera sana. Vipi ulishahakikisha huuziwi mbuzi kwenye gunia? Did you DO with him?Habarini za asubuhi wa ndugu wapenzi.
Naamini mmeamka salama, pia nawapa pole wote ambao hamko poa leo, nawaombea kwa Mungu mpone haraka.
Baada ya hayo nachukua nafasi hii kuwaalika nyote ktk harusi yangu leo..itakayofanyika St. Joseph na kufuatiwa na sherehe pale Delux Hall. Asante sana.
Andika vizuri basi nataka nishuhudie(Mbezi au ni Wapi)Habarini za asubuhi wa ndugu wapenzi.
Naamini mmeamka salama, pia nawapa pole wote ambao hamko poa leo, nawaombea kwa Mungu mpone haraka.
Baada ya hayo nachukua nafasi hii kuwaalika nyote ktk harusi yangu leo..itakayofanyika St. Joseph na kufuatiwa na sherehe pale Delux Hall. Asante sana.
Habarini za asubuhi wa ndugu wapenzi.
Naamini mmeamka salama, pia nawapa pole wote ambao hamko poa leo, nawaombea kwa Mungu mpone haraka.
Baada ya hayo nachukua nafasi hii kuwaalika nyote ktk harusi yangu leo..itakayofanyika St. Joseph na kufuatiwa na sherehe pale Delux Hall. Asante sana.
Hahahhaa...ndo kashaamua hivyo. Unataka umbadilishe mawazoHongera sana. Vipi ulishahakikisha huuziwi mbuzi kwenye gunia? Did you DO with him?
Hapana. Nauliza tu kutoka na uzi wake aliowahi kuuweka hapa akilalamika kuwa jamaa hataki wa-do kabla ya ndoa, jambo lililomsumbua na kuhisi labda jamaa sio riziki.Hahahhaa...ndo kashaamua hivyo. Unataka umbadilishe mawazo
Nafuahi uliamua kukubaliana naye.Leo ndo uhakiki utafanyika