moniccca
JF-Expert Member
- Nov 15, 2015
- 2,383
- 3,285
- Thread starter
- #41
Niwana jf ndiyo..pole kadi zilitengwa 20 kwaajili ya sana jf na zilishakwisha zote.Asante sana Kwa taarifa Na hongera Kwa kupata mwenzi wa Maisha yako!vp bwana harusi Ni mwana JF?naomba kadi moja kwa wana JF tuwakilishwe na Lara pamoja Na Rubi