Leo naolewa

Leo naolewa

Mkuu ndo basi tena huwezi kuwa online tena mda mrefu especial muda wa usiku...nasubiri mrejesho kesho!
 
Kweli mkali sana huyu bibie wacha nim-quote kidogo alivyosema..''Wadau nisaidieni,mimi naishi kwangu na maisha yangu sina dhiki kwa kweli Mungu kanijalia kazi nzuri, nahudumia kila kitu lakini dushe lake ananinyima. Kweli huyu mzima au ndo hivyo tena? Kwangu mimi dushe ndio uhitaji wangu mkubwa'' Akamaliza..
Mmmh. Wana jf bhana hatusahau?
 
Habarini za asubuhi wa ndugu wapenzi.

Naamini mmeamka salama, pia nawapa pole wote ambao hamko poa leo, nawaombea kwa Mungu mpone haraka.

Baada ya hayo nachukua nafasi hii kuwaalika nyote ktk harusi yangu leo..itakayofanyika St. Joseph na kufuatiwa na sherehe pale Delux Hall. Asante sana.
Baraka kwako, naktakia kila la kheri monicca
 
Kuna wakati JF inakuwa kama familia hivi.
Hongera bana, japo kadi ulininyima.
 
Hizi smart phone hizi... kama vile bunge kujirekodi yenyewe....

Bibi harusi hata siku ya ndoa yako baada unahangaika mitandaoni...

Au kuna mtu unamtambia...
 
Hongera na kama upo ofisini jiandae kisaikolojia kutopata ofa na upendeleo kutoka kwa wakware wote hapo ofisini mara nyingine umefanya uamuzi sahihi wa kufunga ndoa.
 
Back
Top Bottom