Leo naolewa

Leo naolewa

Habarini za asubuhi wa ndugu wapenzi.

Naamini mmeamka salama, pia nawapa pole wote ambao hamko poa leo, nawaombea kwa Mungu mpone haraka.

Baada ya hayo nachukua nafasi hii kuwaalika nyote ktk harusi yangu leo..itakayofanyika St. Joseph na kufuatiwa na sherehe pale Delux Hall. Asante sana.
Ukazae watoto sio kujaza choo tu[emoji115] [emoji115] [emoji115]
 
Test ya kwichikwichi ushamfanyia?...usijerudi hapa kulia lia ooh mwezi sasa tangu tufunge ndoa sipati haki ya ndoa.
Ok sisi tutatoa tu ushauri.....hongera sana Monica kwa hatua nyingine kubwa kwenye maisha yako,MUNGU awaongoze
 
Topiki kama hizi pelekeni kule mburahati, kigogo luhanga na mbagala. Huko ndiko watu wanapenda mambo ya umbeya umbeya.
 
Leo ndo uhakiki utafanyika
Sasa ukibaini jamaa sio riziki utaachana naye au ndo utavumilia shida hadi kufa maana kiapo kinasema mtakuwa pamoja kwa shida na raha,mvua na jua na mengineyo kibao.
 
Mungu akuongoze bidada hakuna maisha yenye baraka kama hayo,japo sisi ndo tuyaendea kinyume,usiache kumuomba MUNGU ili ufanikiwe.
 
baada ya harusi mnaenda wapi ili angalau jamaa ale kitu yake au kashakulaga toka long
 
Hapa sijakuelewa kinjio what do you mean? Kama siyo ridhiki mi ntasepa tena kwa speed kubwa sifuati chakula chake mim
Sasa moniccca kama unafata dushe si bora umtafute mwanaume rijali awe anakupa unachokitaka kuliko kugharamia sherehe mwisho wa siku ukatoka nduki ukamuacha jamaa na umeshawaingiza watu hasara kubwa.
 
Sasa ukibaini jamaa sio riziki utaachana naye au ndo utavumilia shida hadi kufa maana kiapo kinasema mtakuwa pamoja kwa shida na raha,mvua na jua na mengineyo kibao.
Ni ulewa wako tu..kama hakuna tendo la ndoa hapo hakuna ndoa..nikikuta hakuna kitu sitakuwa na lakuvumilia hata yeye nimekwambia.
 
Ni ulewa wako tu..kama hakuna tendo la ndoa hapo hakuna ndoa..nikikuta hakuna kitu sitakuwa na lakuvumilia hata yeye nimekwambia.
inamaana wewe na yeye hamjawahi kurushiana maji toka ujana wako angali ofisini kwenu watu wanakulana hadi juu ya viti
 
Kweli mkali sana huyu bibie wacha nim-quote kidogo alivyosema..''Wadau nisaidieni,mimi naishi kwangu na maisha yangu sina dhiki kwa kweli Mungu kanijalia kazi nzuri, nahudumia kila kitu lakini dushe lake ananinyima. Kweli huyu mzima au ndo hivyo tena? Kwangu mimi dushe ndio uhitaji wangu mkubwa'' Akamaliza..
Hahaha mkuu.ameamua ajitose tu maana kwa mara ya kwanza mwanaume ndo hataki kudo na mchumba wake.jamaa atakuwa sio riziki hakiyanani.
 
chupi


chupi sio issue mzee! monica anasema hajui kama jamaa mpini unasimama au lau! inawezeka mpaka ushtuliwe ndio uwe kama nondo
Kweli eeeh!!kwahiyo itakuwa Monica ameshobokea ndoa kabla ya kufanya practical
 
Leo ndo uhakiki utafanyika


monii;
Hujapewa ushauri hata kidogo? Kama ulibanaaa mpaka leo ukifika mbele ya Baba Paroko akakuvika ile pete iso na mwanzo wala mwisho baaasi. Huchomoi tena. Mwisho ukikuta ni mzungu wa 4 si yatakukuta yale ya mwenzio ofisini?
Hapa si mahali pake; ila hukutuambia ka bado wanakuja ofisini au hujaenda huko umepewa siku za kuoga? Haya takasa dada mwenye nayo akute swafiiiii
 
Back
Top Bottom