mathsjery
JF-Expert Member
- Sep 26, 2015
- 2,249
- 1,813
Olewa dada upate heshima maana unaachana. Na ukapela na kuwa mwanamke kamili.hongeraHabarini za asubuhi wa ndugu wapenzi.
Naamini mmeamka salama, pia nawapa pole wote ambao hamko poa leo, nawaombea kwa Mungu mpone haraka.
Baada ya hayo nachukua nafasi hii kuwaalika nyote ktk harusi yangu leo..itakayofanyika St. Joseph na kufuatiwa na sherehe pale Delux Hall. Asante sana.