Maisha pesa
JF-Expert Member
- Nov 6, 2015
- 681
- 630
Haya bana nasubiri post yako na mimi niapplyYou are right
Ha haa kiwanja kishapata mmilikiHaya bana nasubiri post yako na mimi niapply
Heeeh halafu nyie mnaomilikiwa ndo wavurugaji wa love connect hamtaki wadogo zenu tupate.Ha haa kiwanja kishapata mmiliki
Alete hapa mrejeesho!Leo ndo uhakiki utafanyika
Mweeh wavurugaji tena!Heeeh halafu nyie mnaomilikiwa ndo wavurugaji wa love connect hamtaki wadogo zenu tupate.
Mnaongoza kwa kukandia watafutaji. Utaskia eenh mme hapatikani kwenye mitandao. Mara ooh mtaani kwako umekosa mke? Sasa mnatafuta nini hapa wakati hapawahusu?Mweeh wavurugaji tena!
We shusha mavoko tu
So funny[emoji12] [emoji12] [emoji12] bila pichuuuu.Kila la kheri Monicca katika ukurasa huo mpya dear..... M'Mungu ajaalie ndoa yako ijae furaha,upendo na amani. Kulala bila pichu Oyeeeeeee!!!
Watu wanapaswa kuelewa mwenza anapatikana popote.Mnaongoza kwa kukandia watafutaji. Utaskia eenh mme hapatikani kwenye mitandao. Mara ooh mtaani kwako umekosa mke? Sasa mnatafuta nini hapa wakati hapawahusu?
WanaoaHadi Leo Mnaolewa?
Sema karibu katika CHUNGU za ndoa! Naye asifumaniwe ofisini.Karibu kwenye tam za ndoa
Subiri tutamchamba atakapofumaniwa ofisini na boss wakeAlete hapa mrejeesho!
Mwenzio anapata mgegedo leo, wenye wivu na wajinyonge! [emoji1] [emoji1] [emoji1]Kila la kheri katika safari yako ya ndoa
ila lazima abadili account maana wengi tutahudhuria tumwone anavyofananaWatu wanapaswa kuelewa mwenza anapatikana popote.
Jf kwenyewe kumejaa watu kibao waelewa na wastaarabu
Kama mgegeda hafiki 30 minute kesho kitanuka hapa JFMwenzio anapata mgegedo leo, wenye wivu na wajinyonge! [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Hawalijui hili..Ila nimeshangaa kusikia anaolewa leoWatu wanapaswa kuelewa mwenza anapatikana popote.
Jf kwenyewe kumejaa watu kibao waelewa na wastaarabu
Kwanini tena?Hawalijui hili..Ila nimeshangaa kusikia anaolewa leo