Leo naolewa

Leo naolewa

Inaelekea Monicca mambo yamemwendea vizuri, na mpaka sasa jamaa bado anamgeuzageuza kama samaki kikaangoni, tena nahisi jamaa yumo humuhumu na alikuwa anasikia na kusoma yote ya humu! kwa hiyo jamaa ameamua kumshughulikia kweli kweli, subirini atakapo kuja kutoa ushuhuda!!!
 
ushaolewa fanya kilichokufanya uolewe achana na michepuko haina maana tena
 
Unaolewa, ata picha kutuwekea umeshindwa
Mbona mnakiherehere subiri tumalize fungate nakuja na mahabari yote..Mimi tena! Mtazidi kuniita mbea maana ntawapakulia kila kitu..kwa sasa nimechungulia tu.
 
Haya bi mbea tunakungoja kwa hamu na umbea wako
 
Mbona mnakiherehere subiri tumalize fungate nakuja na mahabari yote..Mimi tena! Mtazidi kuniita mbea maana ntawapakulia kila kitu..kwa sasa nimechungulia tu.
Endelea kuupakata mwaya! Huo ni wako mwenyewe.
 
Mbona mnakiherehere subiri tumalize fungate nakuja na mahabari yote..Mimi tena! Mtazidi kuniita mbea maana ntawapakulia kila kitu..kwa sasa nimechungulia tu.

Mpe na ile section B yenye maswali magumu na yenye maksi nyingi
 
hongera,,,,ukazae watoto wengi kama mchanga wa baharini............lol
 
Back
Top Bottom