imbegete
JF-Expert Member
- Jun 21, 2015
- 1,299
- 992
Inaelekea Monicca mambo yamemwendea vizuri, na mpaka sasa jamaa bado anamgeuzageuza kama samaki kikaangoni, tena nahisi jamaa yumo humuhumu na alikuwa anasikia na kusoma yote ya humu! kwa hiyo jamaa ameamua kumshughulikia kweli kweli, subirini atakapo kuja kutoa ushuhuda!!!