Leo naomba mniulize chochote kuhusu mimi

Nimezaliwa mwaka 1976 nina elimu ya masters nina mke na watoto watatu. Ni mwajiriwa na pia ni mjasiriamali na mkulima. Maisha yangu namshukuru Mungu yanaenda vizuri
Masters ya fani gani?
Watoto wako wanna miaka mingapi?Wanasoma au wanashughurika na Nini?
Hali ya uchumi unaionaje? We NI mfuasi wa chama gani?
 
Masters ya fani gani?
Watoto wako wanna miaka mingapi?Wanasoma au wanashughurika na Nini?
Hali ya uchumi unaionaje? We NI mfuasi wa chama gani?
Masters ya Agribusiness (MBA) na Monitoring and Evaluation, kuhusu watoto wanasoma na nimeshaelezea huko nyuma. Hali ya uchumi naiona ina changamoto kiasi kwa kuwa kwa sasa tunaandaa miundombinu itakayosababisha Maisha kuwa easy baadae nina Imani kwa haya yanayotendeka vizazi vya kesho vitakuja kuwakumbuka wanayoyafanya maana vitu vingi vitakuwa rahisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…