Ushimen
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 40,828
- 99,523
Mh mjumbe, ebu subiria kidogo ukuwe mkubwa...tehteehh [emoji23][emoji23][emoji23]Kizuri kula na mwenzio mh mjumbe...
Na mimi nataka kuelewa mh mjumbe...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mh mjumbe, ebu subiria kidogo ukuwe mkubwa...tehteehh [emoji23][emoji23][emoji23]Kizuri kula na mwenzio mh mjumbe...
Na mimi nataka kuelewa mh mjumbe...
Boss[emoji125][emoji125]
Fafanua jibaba ha ha ha
Utaniua kwa presha mkeLabla angekua na kibamia, tango hapana kwa kweli
[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]Mh mjumbe, ebu subiria kidogo ukuwe mkubwa...tehteehh [emoji23][emoji23][emoji23]
Nini kimekuvutia kwake huyo Demis?
Mkuu hbr za siku...? Pole kwa majukumuThread ya kupotezea muda hiii na ku refresh....
Shukrani Boss..habari za huko?Mkuu hbr za siku...? Pole kwa majukumu
Nisamehe mume.Utaniua kwa presha mke
Jivi babu sikudai?Uliza maswali we demu...
Nzuriii mkuu, nafarijika kukuona Tena jukwaani, shida yangu ilikuwa kuhusu ule Uzi, mkuu cjui naweza upata mkuu? Km hutojaliii nije pmShukrani Boss..habari za huko?
uwe na amani mkuu..ukicheki PM nadhani ishu yako itakua solved.Nzuriii mkuu, nafarijika kukuona Tena jukwaani, shida yangu ilikuwa kuhusu ule Uzi, mkuu cjui naweza upata mkuu? Km hutojaliii nije pm
Hahahaha[emoji23]Ewaaaaa.... sasa umeanza kuwa mtoto mzuri
Hahahaha Boss sikukutegemea huku[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unaenda wapi mode, naona mambo ni moto[emoji621]
Naishi kwenye nyumba ina ukuta eneo lote na pia ni pakubwa sana majirani wako mbali sanaNilisema humu JF kuna uvumi kwamba jirani yako mnaeangaliana milango anamchukua mkeo. Tabia hii waliianza wakati uko Ukonga. Habari hizi zinaukweli?