Leo naomba mniulize chochote kuhusu mimi

Leo naomba mniulize chochote kuhusu mimi

Unamshauri nini mwanaume aliyezaa na mchepuko? Au mdada aliyezaa na mbaba mwenye familia?
Namshauri amlee huyo mtoto na pia asirudie tena kufanya hicho kitu. Tutumie kondomu tunapotoka nje ya ndoa UKIMWI upo na unaleta majanga sana kwenye familia. Tuheshimu sana familia zetu na pia tuheshimu wanandoa wetu
 
Ni kitu gani kilikusukuma kuthubutu kuwa mjasiliamali?
Niliona sifikii malengo niliyojiwekea maana nilipokuwa nasoma haswa Kibaha Sec nilikuwa na watoto wa wakubwa enzi hizo wanaishi Masaki na Mikocheni. Nilipokuwa nawatembelea makwao nilijiwekea nadhiri kuwa one day na mimi nitaishi kwenye mijengo kama yao. Nilipoajiriwa niliona sifikii malengo nikahamua kuanza ujasiliamali ambao ndio umenitoa at least
 
ha ha ha ina maana mimi ni maskini? nina Imani watanzania level yangu hawafiki asilimia 5 ila navyoona mie ingawa sijafika napotaka
Kipato chako kwa mwezi ni kiasi gani (baada ya kodi kama ni mfanyakazi) ?
 
Ni changamoto gani uliipata wakati unaanza ujasiliamali na uliitatuaje?

Kwenye ufugaji wa kuku unamshaurije mtu mwenye mtaji mdogo mf 50,000? Nini azingatie ili awe mfugaji mkubwa?
Changamoto ni nyingi ila cha muhimu usikate tamaa. Kwenye ufugaji mfano kuna magonjwa iliwahi kutokea kuku 4000 walikufa. Pia masoko nayo ni changamoto sana ila faida ni kubwa kuliko changamoto. Hamna kazi ambayo haina changamoto

Kwa mtu mwenye mtaji mdogo cha muhimu ni uthubutu na malengo mfano unataka kufungua duka inabidi ujifunze vitu gani muhimu wakati wa kufungua duka na unaweza kuanza kuvitafuta polepole na kuvikusanya mpk ufungue duka hata ukipita muda mrefu
 
Inabidi ajue kuwa m/mke anayekubali kuwa na mme wa mtu anachowaza kwanza ni kukuchuna si mapenzi ya dhati hilo lazima uelewe. Pia family first. Mpende na kumjali mkeo
Je Una Kitambi Mkuu?
Huwa Ukiwa na Mwanamke unaenda Round ngapi?
 
Kitambi cha kishikaji nikiwa na wife maximum mbili ila mchepuko mpya naenda mpk 3. Umri umeenda siwezi kusindana na wakati ngono sio priority kubwa kwa sasa

Napenda tu kuwa treated well and romantic na mwanamke
 
Hakuna mwanaume asiyechepuka ninaongea ukweli toka moyoni mwangu. Muhimu tumia kinga kwa ajili ya kujilinda wewe,mke, familia na taifa kwa ujumla. Tuache unafiki tuongee ukweli
Ina maana mnaoa kama kipicha cha ndani halafu mnafanya yenu? Kama ni hivyo tuachane na ndoa tuwe kama simba, ng'ombe na wanyama wengine wanaodandia kila mwenye joto! Siku nikihisi mme wangu amechepuka loh sisemi anaweza kuwa humu na yeye.
 
Back
Top Bottom