funzadume
JF-Expert Member
- Jan 28, 2010
- 13,624
- 21,362
- Thread starter
- #361
Sijavumbua kwa maana ya kuvumbua nayoielewa ila ninachojivunia ninafanya kazi kwa bidii sana kuliletea maendeleo taifa langu. Mfano hapo tunapochati niko njiani naenda kwenye mashamba yangu Morogoro nimesimama hapa Ruvu kuna lori limepinduka ndio nachat. Uwa sipotezi muda kizembe, kwangu mimi muda ni mali kuliko chochoteUMEVUMBUA KITU MPAKA SASA?