Leo naomba mniulize chochote kuhusu mimi

Ina maana mnaoa kama kipicha cha ndani halafu mnafanya yenu? Kama ni hivyo tuachane na ndoa tuwe kama simba, ng'ombe na wanyama wengine wanaodandia kila mwenye joto! Siku nikihisi mme wangu amechepuka loh sisemi anaweza kuwa humu na yeye.
Wanaume wanachepuka na wanawake its 50/50. Aldutery is a human nature ndio maana ni ngumu sana kukwepeka waislam waliona mbali wakasema m/ume anaweza kuoa wake wanne
 
Ina maana mnaoa kama kipicha cha ndani halafu mnafanya yenu? Kama ni hivyo tuachane na ndoa tuwe kama simba, ng'ombe na wanyama wengine wanaodandia kila mwenye joto! Siku nikihisi mme wangu amechepuka loh sisemi anaweza kuwa humu na yeye.
Kwa kuongeza kuoa ni muhimu sana. Ndoa sio tendo peke yake. Kuna kujenga familia pia na ndoa iheshimiwe na watu wote huo ndio ujumbe mkuu. Kuchepuka hata wewe unachepuka. Kwenye kuchepuka wanawake ndio wanaoongoza na ndio wanaongoza pia kwa kushutumu m/ume anapochepuka.

All in all tendo linafanywa na jinsia mbili so its 50/50 huwezi kulaumu jinsia moja
 
Mimi naapa mbele yako Na mwenyezi Mungu nina miaka 28 kwenye ndoa takatifu na sijawahi wala kuwaza mchepuko wala kutamani. Kama nadanganya Mwenyezi Mungu animalize sasa hivi. Mme wangu simsemelei ila jinsi tunavyoishi sijawahi kuwa na mashaka. Tuna watoto na wajukuu.
 
Nachelea kuamini, anyway watu hawafanani na case yako ni rare sana kwenye hii dunia. Very rare (nakazia)
 
Kuridhika, kuwa na upendo wa kweli na kuwa na woga wa kuaibika na magonjwa halafu kuona kuwa haya majitu yote sawa hayana tofauti. Ule ugali au ndizi na wali vyote ni kushiba. Imagine watoto wako wana wake halafu wanajua wazazi wao wanachepuka, kweli kuna heshima hapo? Hivi vitu havina siri.

Hivi wewe funzadume wewe ni specialist wa ngono basi au kuna vitu vingine unaweza jibu?
 
Fuatilia uzi nimeeleza sana kuhusu maisha yangu halisi. Halafu mie sio mtu wa ngono kama unavyofikiri ila nina mchepuko mmoja tu ambao tuko mbioni kuachana
 
Mkiachana unaachana na mchepuko au unatafuta mbadala? Je, huwa unajipima hali yako kila mwezi kujua wewe na mwenzio mko salama? Sisi tuna Medical examination kila mwaka ambayo ni kila kitu hivyo tunajiamini na tukienda huwa tunapewa majibu tukiwa wote kwa miaka yote hii.
 
Funzadume ni jina nilijipa na ninaitwa Funzadume mwana wa Washawasha. Nilijiita hivyo baada ya mzee wangu kujipa aka ya washawasha ndio mie ili kwenda nae sawa nikajiita funzadume

Mie sijihusishi na siasa kabisa
Shabiki wa Arsenal na Simba
Mie sitamanu kukuuliza chochotr mzee mwenzangu!! Hapo kwenye simba na arsenal tuko pamoja mkubwa wa kaya.
 
Mkiachana unaachana na mchepuko au unatafuta mbadala? Je, huwa unajipima hali yako kila mwezi kujua wewe na mwenzio mko salama? Sisi tuna Medical examination kila mwaka ambayo ni kila kitu hivyo tunajiamini na tukienda huwa tunapewa majibu tukiwa wote kwa miaka yote hii.
Ninapima ila sio kila mwezi wala kila mwaka ninapima ninapojisikia kupima na siogopi kupima

Nikiachana na mchepuko nitajaribu kuipotezea kwa muda ili niishi maisha huru. Michepuko ni kama utumwa fulani hivi ingawa ni kama addiction
 
UMEIFANYIA NINI NCHI YAKO MPAKA
Mimi ni mfanyakazi na ninaitumikia nchi yangu na ninalipa kodi zote pia ni mkulima na mfugaji na biashara nyingine nachangia pato la taifa kwa kiasi changu nilichobarikiwa.

Nina majengo na ninazalisha mazao na chakula kwa wananchi wengi tu. Kwa ufupi ninalitumikia taifa langu kwa kufanya kazi kwa bidii, kulipa kodi zote na kuzalisha pia
 
Back
Top Bottom