funzadume
JF-Expert Member
- Jan 28, 2010
- 13,624
- 21,362
- Thread starter
- #381
Kuacha kazi nafikiria nikifika 50 au 55. Kuacha kazi kugumu sana ukiwa na madaraka. Pia kazi ndio inaniwezesha kukopa na kufungua miradi wacha nikabe kotekoteChief nimeufuatilia uzi wako tokea mwanzo nashukuru sana kwa kufunguka kwa maswali unayoulizwa by the way mi nilikuwa na ushauri kwanini usingeacha kazi na kutumia nguvu zako zote ulizobakisha kuongeza uzalishaji kwenye miradi yako? Maana kwa umri wako inaonyesha umebakiza miaka 17 ya uzalishaji kabla ya kustaafu