Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Halafu nasikia jamaa anashinda kule jukwaa la chini linaloonekaa kwa wachache[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Brother yuko njema ila jf ina siri nyuma ya keyboard
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu nasikia jamaa anashinda kule jukwaa la chini linaloonekaa kwa wachache[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Brother yuko njema ila jf ina siri nyuma ya keyboard
Boss[emoji125][emoji125][emoji44][emoji41]
Masters ya fani gani?Nimezaliwa mwaka 1976 nina elimu ya masters nina mke na watoto watatu. Ni mwajiriwa na pia ni mjasiriamali na mkulima. Maisha yangu namshukuru Mungu yanaenda vizuri
Masters ya fani gani?Nimezaliwa mwaka 1976 nina elimu ya masters nina mke na watoto watatu. Ni mwajiriwa na pia ni mjasiriamali na mkulima. Maisha yangu namshukuru Mungu yanaenda vizuri
Masters ya Agribusiness (MBA) na Monitoring and Evaluation, kuhusu watoto wanasoma na nimeshaelezea huko nyuma. Hali ya uchumi naiona ina changamoto kiasi kwa kuwa kwa sasa tunaandaa miundombinu itakayosababisha Maisha kuwa easy baadae nina Imani kwa haya yanayotendeka vizazi vya kesho vitakuja kuwakumbuka wanayoyafanya maana vitu vingi vitakuwa rahisi.Masters ya fani gani?
Watoto wako wanna miaka mingapi?Wanasoma au wanashughurika na Nini?
Hali ya uchumi unaionaje? We NI mfuasi wa chama gani?
DuhKwahiyo kupata division one ya point 10 uliwaprove wrong waliokupeleka pale?
Huwezi amini ndugu yangu nina shamba Morogoro kuna mazao nilipanda ada yote inatoka huko na ziada juu. Kuna siri kubwa sana kwenye kilimo watu tu hawajuiHongera mkuu, mambo yako si haba kama unavyojipambanua, kumudu ada ya Feza Boys kwa watoto wawili si jambo la mchezo
Daah! Hili jukwaa lipo wapi me nataka Niungwe[emoji2]Halafu nasikia jamaa anashinda kule jukwaa la chini linaloonekaa kwa wachache[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]