Leo naomba mniulize chochote kuhusu mimi

Madhaifu yako ni yepi na Ni kwa vipi una handle madhaifu yako ?
 
Mkuu mbona hii 'fleet' haikisi kipato ulichokisema hapo juu....au hukusema vioato vyote....

Je unawezaje kumanage biashara/miradi ilihali umeajiriwa?

Unamshauri nini kijana muajiriwa lakini mwenye 'access' ya mtaji wa kutosha....siri ni nini?
 
Nimeelezea kuwa nina miradi inayoniingizia kuliko mshahara.

Mke wangu si mwajiriwa na ndie anayenisaidia kumanage mambo mengi mie pia napiga mishe sana j3 mpk j3
 
Kwa kijana mwenye mtaji namshauri afanye kitu kingine kitachomuingizia kipato. Huwezi kuwa tajiri kama una chanzo kimajo tu cha mapato. Fanya shughuli yoyote inayokuingizia kipato hata ndogo tu. Ifanye shilingi kumi iwe zaidi ya shilingi kumi ukiiweka bila kuifanyia kazi haizai
 
Huna haja ya kutaja jina lako wala mahali unapofanyia kazi, kwa sababu funzadume huishi kwenye uchafu na hufanya kazi chooni...

Cc: mahondaw
 
Nimeelezea kuwa nina miradi inayoniingizia kuliko mshahara.

Mke wangu si mwajiriwa na ndie anayenisaidia kumanage mambo mengi mie pia napiga mishe sana j3 mpk j3
Mwanamke uliyenae ndie uliempenda ujanani!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…