Leo naomba mniulize chochote kuhusu mimi

Kwa mfano ungekua umesomea kozi ambayo haiajiriki halafu hauna namna ya kupata mtaji ungefanyaje ili kujikwamua kiuchumi?
 
Uliacha kukojoa kitandani ukiwa na umri gani?
Nadhani nikiwa darasa la kwanza ila kuna siku nilipomaliza darasa la saba nilisafiri kwenda moro kwa ndugu yangu choo kilikuwa cha nje nikawa naogopa kutoka nje (kulikuwa na vibaka sana mitaa hiyo - mawenzi) mkojo ulinibana sana nilipopitiwa nikalimwaga hiyo ndio ilikuwa mara ya mwisho kujikojolewa
 
Nikumbukwe kwa kutenda mema na kuaminiwa na wengine. Nimekuwa nina impact kwa watu wengi sana hapa duniani na nimewafundisha wengi sana kuhusu Maisha na wengi wanarudi na kushukuru. Nina watu Zaidi ya 20 ambao mimi ni referee kwenye CV zao
Nikifanya nini nitapata privilege ya kukutumia kama referree kwenye CV yangu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…