funzadume
JF-Expert Member
- Jan 28, 2010
- 13,624
- 21,362
- Thread starter
- #101
Kinachonikera ni kuingiza siasa za vyama kwenye topiki ambazo hazihusiani na siasa. JF ina mengi ya kujifunza sio sehemu ya siasa peke yake ndio maana kuna majukwaa mengi. Kuna watu wanatajirika kutokana na mawazo ya humu JF. Kuna mtu aliniuliza kuhusu ufugaji samaki huwezi amini jamaa amejiajiri kwa sasa na ana Maisha yeke so tuchukulie vitu serious sometimesUmeoa?
Ni kitu gani kinakukera hapa jf?